mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Kitaifa wameshuka, kwa wanafunzi bora wamepanda.Hao wadada huwa wanaongoza sana mwaka huu ndio wametolewa rasmi kwenye namba moja…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitaifa wameshuka, kwa wanafunzi bora wamepanda.Hao wadada huwa wanaongoza sana mwaka huu ndio wametolewa rasmi kwenye namba moja…
Vipi Shule bora? WanafunziLeta Namba na Jina la Shule
Link plz
Wanafunzi bora?Soma hapo Juu.
Aisee hii elimu yetu leo rasmi ndo naweza sema imeshukaa aisee daaah wale madogo wa kupata one za 10 mbili,11,12,13 na 15 aisee hili bomu la mbeleni huko ni balaaMdog wetu kapata ngapi?
Nimekuelewa kidogo sana mkuu.Hawa madogo niliwatungua series 8 za B.Math hakuna aliyewah kupata B ni C ndo zilikiwa marks zao.....na uwezo wap na uelewa wao wa mambo wakiulza maswali wakati wa correction na matokeo ya haviendani kabisa ......nikikumbuka one ya kumi ya enz zetu sio poa hata one ya kumi na saba kipind kile ulikuwa mtu uko makini sana kichwani
Acha ubishiAcha kupotosha, hakuna taarifa hadi muda ninapoandika ujumbe huu kwenye tovuti wala kurasa rasmi za NECTA kwenye mitandao ya kijamii