Siku hiz hata sielewi madogo naona wapo na episode za chakorii tuπHizo mambo bado zipo?
Niliwahi kuongoza kata nzima somo la Maarifa na Wilaya ya Moshi.
Nilikuwa najua Jiography na History balaa, nilivurugikiwa tu Secondary πππ
Hahaha umesahau kaloleni primaryArusha ya enzi hizo ilikuwa balaa. Ngarenaro, Naura, Meru, Uhuru, Daraja mbili na Themi zilikuwa na wababe.
Halafu zile bifu za Secondary sasa.Siku hiz hata sielewi madogo naona wapo na episode za chakorii tuπ
Hahaha kuna ile jipime , unakutwa imemezwa kama orodha ya pili.Kipindi hiko primary English medium chache sana...
Hapo Themi, Baba yangu mkubwa alikuwa mwl mkuu kila akija home Marangu lazima aje na paper za number π€£π€£π€£
Tena zilizoandikwa kwa mkono
Hahaha sema kipindi hicho darasa nzima nilikua ni mdogo , hivyo kwenye mabifu nilikua nakula konaπHalafu zile bifu za Secondary sasa.
Nakumbuka ile tunaingia tu form one, kulikuwa na mtiti wa shule moja jirani.
Siku hiyo vijana walikuwa wanaenda kupigana, kazi yetu sisi manjuka wajanja ilikuwa ni kukusanya mawe.
Wale rivals wetu walikuwa wamejiandaa haswa, watu walichapana vibaya mno.
Aisee hizi vita zisiwepo tena hawa watoto laini laini watafia huko.
mamasamia utabakwa wewe.. acha kujisifiaMiaka ya 90 hadi 2000 mwanzoni kabla ya ujio wa shule za kata matokeo ya darasa la 7 yalikuwa na msisimko wa kipekee sana. Mwaka 1999 matokeo yalichelewa kutoka yakatoka mwezi wa kwanza tarehe 20. Nakumbuka tulikua kakikundi tumeenda manispaa Arusha kucheki matokeo. Kwenye lile grupu kuna mwenzetu alikuwa hajachaguliwa ikawa huzuni kweli. Wakati tumeondoka kufika usawa wa jengo la BOT yule mwenzetu akatusihi turudi tena kucheki. Ikabidi turudi. Bahati nzuri second selection alichaguliwa. Mimi nilikuwa miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri sana.
Chache sana. Arusha school na Green Acres ndo zilikuwa zinavuma zaidi. Baadae ikaja NaashaKipindi hiko primary English medium chache sana...
Hapo Themi, Baba yangu mkubwa alikuwa mwl mkuu kila akija home Marangu lazima aje na paper za number π€£π€£π€£
Tena zilizoandikwa kwa mkono
Lamomy ni mtu mwenye uelewa mpana kuhusu unyago pamoja na mambo mengine yanayohusiana na mapenzi. Tatizo yupo nchi isiyojali vipaji... ingekuwa Ulaya angepiga hela.
Dada yangu acha matusi....mamasamia utabakwa wewe.. acha kujisifia
Hongera sana.Miaka ya 90 hadi 2000 mwanzoni kabla ya ujio wa shule za kata matokeo ya darasa la 7 yalikuwa na msisimko wa kipekee sana. Mwaka 1999 matokeo yalichelewa kutoka yakatoka mwezi wa kwanza tarehe 20. Nakumbuka tulikua kakikundi tumeenda manispaa Arusha kucheki matokeo. Kwenye lile grupu kuna mwenzetu alikuwa hajachaguliwa ikawa huzuni kweli. Wakati tumeondoka kufika usawa wa jengo la BOT yule mwenzetu akatusihi turudi tena kucheki. Ikabidi turudi. Bahati nzuri second selection alichaguliwa. Mimi nilikuwa miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri sana.
hiyo hali ya private kuonekana ni upotevu wa fedha tu,inarudi kwa kasi sana,sikuhizi watoto wanafauli kwa kishindo bila kujali yuko shule ya serikali au privateNdio upime sasa, na nimesoma Marangu huko, madawati, Walimu, madarasa ya kutosha ila kupata shule ndio tabu...
By those days tulikuwa tunawaona wanaosoma Shule za Private Secondary kama vilaza tu π€£π€£π€£
Sisi tulifaulu watoto wanne kati ya 60 plus.....Best, kipindi ninasoma darasa letu wanafunzi 36, tulifaulu watano tu.
Hakukuwa na matokeo bana, walikuwa wanatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza tu.zamani matokeo ilikua mpaka siku mbili kabla ya xmas,kumbe kweli tumeendelea,,halafu enzi hizo wilaya nzima wanafaulu watu 5 tu,wengine mnabaki nyumbani kulimaπ€