NECTA Yatangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2026

Yale hayakuwa matokeo mdau.
Walikuwa wanatoa majina ya waliochaguliwa kujinga na kidato cha kwanza.
Hakukuwa na matokeo ya darasa la saba miaka hiyo..
Hivi siku hizi wanatoa na nafasi za kimikoa kwenye ufaulu?
 
Sasa hilo nalo la kujisifia?

Baba yako hawezi kukulipia bweni mpaka utegemee serikali?
 
Chai.

Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu.
 
Kuna mtu anaitwa Lamomy mbona hachangii huu uzi? Au la saba hakufika?
Ndo naingia aiseee ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sasa mi uzi wa matokeo wa la saba nna mtoto nasomesha?

Nyie mnaokazana bila kutumia uzazi wa mpango ndo muanze kujitafuta January mlipe ada. Sio kujua kukazana tu!
 
Kuna mahali nimemwona anafundisha style za mapenzi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Lamomy
Dah! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nimeona ndo vitu Watanzania wanavifanya kwa ufanisi.!!
 
Hakuna cha privacy wala nini, waliweka kuficha waislamu waliokuwa wanahesabu majina yapi ni mengi kwenye ufaulu
Hapana bana hujui sasa hivi nchi ina sera ya ulinzi wa taarifa binafsi?
Hukuona wanasiasa waliofeli zamani walivyokuwa wanazodolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ