Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Nov 3, 2026 #101 Smart911 said: Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw Click to expand... Kila la kheri kwao
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Nov 3, 2026 #102 Lamomy said: Ndo naingia aiseee 😹😹 Sasa mi uzi wa matokeo wa la saba nna mtoto nasomesha? Nyie mnaokazana bila kutumia uzazi wa mpango ndo muanze kujitafuta January mlipe ada. Sio kujua kukazana tu! Click to expand... Tumeamrishwa kuijaza dunia. Mimi bado krismas moja nitinge 40 ila nina mdogo wangu mwenye mwaka 1 na nusu. Yaani mwanangu wa mwaka 2016 atamuita huyu baba mdogo ingawa kamzidi miaka ya kutosha.
Lamomy said: Ndo naingia aiseee 😹😹 Sasa mi uzi wa matokeo wa la saba nna mtoto nasomesha? Nyie mnaokazana bila kutumia uzazi wa mpango ndo muanze kujitafuta January mlipe ada. Sio kujua kukazana tu! Click to expand... Tumeamrishwa kuijaza dunia. Mimi bado krismas moja nitinge 40 ila nina mdogo wangu mwenye mwaka 1 na nusu. Yaani mwanangu wa mwaka 2016 atamuita huyu baba mdogo ingawa kamzidi miaka ya kutosha.
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Nov 3, 2026 #103 Hance Mtanashati said: Chai. Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu. Click to expand... Ila mwanaCHADEMA Lema ndo mwenye akili?
Hance Mtanashati said: Chai. Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu. Click to expand... Ila mwanaCHADEMA Lema ndo mwenye akili?
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Nov 3, 2026 #104 Seran umefaulu?