MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Nimeona huu mkoa umekua wa kwanza kwa ubora wa ufaulu wa mitihani ya Form IV lakini si hivyo tu bali una shule nyingi zaidi kuliko mikoa mingine yoyote ile Tanzania. Mkoa wa Kilimanjaro una shule 314 za sekondari ukifuatiwa na Dar es Salaam wenye shule 299.