MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Hapo ndipo ninapowapenda hawa wapare na wachaga.shule kwanza.
Wangeweka mfumo wa majina hii ya kuweka namba kwenye matokeo siipendi
Ni taarifa tu mkuu, fanyia kaziKwa hiyo?
Mna jenga na shule pia, ni mfano wa kuigwaOr course tunasoma,na kusomesha. Hatakama hampendi,
Tupe data za mtwara na singida
SWAAFIIasante kwa taarifa
Si kwa povu hili, kutakuwa na tatizo mahali, yaani matokeo ni kama mtu kuvua nguo?Tengeneza huo mfumo wa kuweka majina kwenye matokeo ya ukoo wenu. Otherwise, sisi wananchi wa kawaida hatuna haja ya kujua mwanao au mtoto wa ndugu/rafiki/shangazi/bibi/babu yako amefaulu kwa kiwango gani. Kwa ufupi, haituhusu kabisa.