NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

Mkuu hapo ndio wamejitahidi kadri ya uwezo wao kubusti mitambo, hivo ata yeye ataelewa tu kuwa ingekuwa ghafra sana watu wangeshtukia, ila fatilia miaka 2 ijayo ndio utajua kuwa muda mwingine nawao wanajua kuusoma mchezo
 
Umenena point tupu! Hawataki watu washtuke... give them time to absorb the shock slowly!
 
Mkuu samahani
Hivi ili Mtu achaguliwe special school huwa wanatumia vigezo gani?
Cut off point ni Ngapi?
Kwa O level,
Darasa la 7 uwe na A ktk masomo yote.

Kwa A level.
Science
Division 1, points 7 - 14, grades comb AAA - ABB.

Arts
Division 1, points 7 - 17, grades comb AAA - BBB.
 
Dogo kapata dv III ya 23, atachaguliwa au ndo tujiandae na shule za private..
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' FREN - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'D'
HKL 1St selection. Anaenda form 5 bila wasi wasi.
 
Kwa O level,
Darasa la 7 uwe na A ktk masomo yote.

Kwa A level.
Science
Division 1, points 7 - 14, grades comb AAA - ABB.

Arts
Division 1, points 7 - 17, grades comb AAA - BBB.
thats it mjomba, watoto wanapenda spesho skuu huku wanashinda nyimbo za kina dai na maigizo ya mama dangote eti hajui mimba ya daimond aliyeiweka ni nani? that means kwa wiki moja alikuwa anagongwa na zaidi ya watu watatu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee lol, speshoooooh tamu bhana, muhusika unajiona kipanga wa ukweli, huku wazazi wakijisikia faraja na amani. Nashukuru kupita ktk 1 ya shule za speshooooooh.
 
Kwa O level,
Darasa la 7 uwe na A ktk masomo yote.

Kwa A level.
Science
Division 1, points 7 - 14, grades comb AAA - ABB.

Arts
Division 1, points 7 - 17, grades comb AAA - BBB.
Kwa A level inategemea na ufaulu wa mwaka husika kama wa mwaka huu Physics A na B chache hata wenye C za Physics watachaguliwa ila masomo yaliobaki yawe A
 
Kwa A level inategemea na ufaulu wa mwaka husika kama wa mwaka huu Physics A na B chache hata wenye C za Physics watachaguliwa ila masomo yaliobaki yawe A
Mie nimetoa kadri ya muongozo husika, na ndio utaratibu uliopo, sasa hili la mwaka huu kuhusu physics itajulikana hapo baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…