NECTA yatangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2017. Shule kanda ya Ziwa zang'aa

NECTA yatangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2017. Shule kanda ya Ziwa zang'aa

1. Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako, ametoa maoni yoyote mpaka sasa?
2. Aliwahi kutoa maoni hadharani ajiobyesha nia ya kupima content capacity ya waalimu wa Msingi na Upili.
 
Ninakilaza wangu hapa kapata wastani wa D. Hivi shule ya kata anapata hapa [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh.....
Ndg wanajamvi naombeni mnitumie link ya necta.....
 
Back
Top Bottom