Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[TABLE="width: 80%"]Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, kwa wale vijana wa kidato cha 4;
Kupata matokeo, tembelea -> http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/CSEE_2012/olevel.htm
Ukweli ni kwamba matokeo ya kidato cha nne yako hadharani yanatangangazwa mchana huu wizarani rafikiangu mwandishi wa gazeti la mwananchi amenipa hiyo tipu kwamba wameitwa kupewa hayo. Na habari alizopata ambazo bado si za uhakika ya kidato cha sita nayo ni leoleo au kesho mapema ila Waziri ameombwa asitangaze ya kidato cha sita bali baraza la mitihani lenyewe.
Dha mmmhhh wa2 walixema mara j3 wengine j5 mmhhh labda we wa alhamic ngoja 2cubiri...
Acheni utoto nendeni mkalale nyie,matokeo yatatoka tar28.june!!
Mmmmmmh haya mabadlko ni kidogo saaaana ...
Zero zimepungua kwel!?
Walisema kabla ya ijumaa yatatoka my be it can be today
kuna utofauti mkuu,Zilikuwa mbwembwe tu,,... Mambo ni yaleyale maana kama mtu alikuwa na poit 9 imekuwa 8 au mwingine alikuwa na 35 imekuwa 34... Kwa kifupi elimu ni mbovu... Na madogo hawasomi wala hawana uchungu na maisha yao.. Full masihala....
kuna utofauti mkuu,
mtu alikuwa na ponti 34,
na sasa kapata 33,
ni nafuu, ana cheti huyo. Mwenye 34 hana.
Zilikuwa mbwembwe tu,,... Mambo ni yaleyale maana kama mtu alikuwa na poit 9 imekuwa 8 au mwingine alikuwa na 35 imekuwa 34... Kwa kifupi elimu ni mbovu... Na madogo hawasomi wala hawana uchungu na maisha yao.. Full masihala....
Driving, hotel management, garden carer, security n.ktehhhh
haya mkuu, sasa 33 anaenda wapi mkuu.. Bado ni mzigo tu kwa familia....
Pamoja