NECTA yatikiswa; yacharuka

Mwanaukweli uko makini sana na una base kwenye ukweli siku zote, wewe ni moja ya Asset muhimu za hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
Nawashauri muwe na utaratibu wa kujiridhisha na habari kabla ya kuiamini. We umemsikia Humphrey Akilalamika?
Atalalamika vipi wakati kapendelewa kupita kiasi kwa mujibu wa tuhuma za Bujugo? Hakufanya mtihani lakini kapata 3...atalalamika nini sasa?
 
Hivi hizi shule za binafsi hajizatosheka na matokeo haya?

Kama wao wanawatuhumu necta kuchakachua mitihani na sisi tunawatuhumu wao kwa kuwaiba walimu wa shule za serikali kwa vipindi fulanix2.
 
jamani wandugu samahani hivi leo UEFA champion kuna mechi gani kali? please naomba mnijibu?
 
Atalalamika vipi wakati kapendelewa kupita kiasi kwa mujibu wa tuhuma za Bujugo? Hakufanya mtihani lakini kapata 3...atalalamika nini sasa?

Soon utaujua ukweli, Ila kwa faida yako huyo Mwalimu ataenda Lupango si muda mrefu.
 
Huyu jamaa huwa najiuliza hata udiwani aliupataje make naamini yy naye kichwa kile akha.. kazoea vya chenji!
 
Hapo jamaa amecheza na MBOGO aliyejeruhiwa na zero 240,900...

Watamdaka kama mwewe anavyodaka vifaranga...
Inawezekana pia sio Bujugo ni hawa waandishi wetu wanakurupuka kuandika kwenye magazeti bila kuafanya utafiti, kwa nini hao waandishi hawakuangalia kwenye mtandao kabla ya kupublish gazeti lao?
 
Mbona zipo nyingi tu mkuu, mf. S1197/0181 M 31 IV
CIV-D HIST-F GEO-F
KISW-D ENGL-D BIO-D B/
MATH-F COMM-F B/
KEEPING-F
Mkuu, namba inayotajwa kuwa imewekewa masomo ya bookkeeping na commerce wakati mtahiniwa hakufanya ni S.1197/0173. Je ni kweli kuwa matokeo ya S.1197/0173 yana B/Keeping na Commerce?
 
ila mkuu naona umesahau slogan yetu hapa jf "where we dare to talk openly"
Yes,we dare to talk openly on a particular issues in a thread.We are not joking here...our education is neither trivial nor immaterial. It needs serious people to put serious comments. Kindly,come back to topic!
 
Yes,we dare to talk openly on a particular issues in a thread.We are not joking here...our education is neither trivial nor immaterial. It needs serious people to put serious comments. Kindly,come back to topic!
thank you for clarification of our slogan! back to topic,mimi binafsi nashauri necta iachwe ifanye kazi zake as autonomous institution ,wanasiasa (kama mr bujogo the owner of green acres schools and kinondoni deputy mayor)wasipewe nafasi ya kuingilia chombo hiki! mimi naamini NECTA ni moja ya chombo makini sana kilichobakia nchini tukipe nafasi ilikiweze kutuletea maaendeleo ya taifa!
 
Now,you are talking
 
Hao walishazoea kuwanunulia mitihani sasa Necta wame come up na fair play!;Kumbe kuna namna nyingi ya mlipuko wa mabomue!;Hahahahah....!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Imethibitishwa kutoka NECTA kwamba mkuu wa shule wa Green acres aliitwa NECTA ili kuprove kile ambacho kimesema na mkurugenzi wake, kwa kupitia matokeo ya mwanafunzi mmoja baada ya mwingine, na imebainika kwamba mkurugenzi huyo alitoa taarifa za kutungwa. Kwa hiyo NECTA imewaagiza wanasheria wake waandae kesi, tayari kwa kumpeleka mahakamani mkurugenzi wa Green acres.
 

Huyu lazima anyee debe ili iwe mfano kwa waropokaji wengine
 
Je kama ulikuwa na Div. 0, utapata ngapi?????? Kwa kashfa hii, nashauri NECTA wasahihishe mitihani yote upya kwa gharama zao!!!!!!

Mtu akifeli amefeli hata ikisahihishwa mara mia matokeo yatabaki kuwa yale yale so long as marking scheme ni ile ile na majibu is not altered.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…