Mhoja Mhoja
Member
- Jan 28, 2013
- 26
- 2
Ndugu yangu, mwanafunzi wa shule ya kata aliyeko kijijini atapata wapi fursa ya kukata rufaa hata kama anajua wazi kuwa matokeo aliyopewa siyo sahihiWakuu mbona mtu unaweza uka-appeal unatoa pesa mtihani wako unasahihishwa upya.., (Ila tahadhari...) wakisahihisha upya wanakuwa na hasira kweli kweli unaweza ukawa ulipata II ukajikuta wakirudia unapata IV
Ndugu yangu, mwanafunzi wa shule ya kata aliyeko kijijini atapata wapi fursa ya kukata rufaa hata kama anajua wazi kuwa matokeo aliyopewa siyo sahihi
Imethibitishwa kutoka NECTA kwamba mkuu wa shule wa Green acres aliitwa NECTA ili kuprove kile ambacho kimesema na mkurugenzi wake, kwa kupitia matokeo ya mwanafunzi mmoja baada ya mwingine, na imebainika kwamba mkurugenzi huyo alitoa taarifa za kutungwa. Kwa hiyo NECTA imewaagiza wanasheria wake waandae kesi, tayari kwa kumpeleka mahakamani mkurugenzi wa Green acres.
anapitia matokeo ya wanafunzi wake kichwani kuna viroba vitatu unategemea nini?
100% nilikuwa baraza leo mchana na nikapewa taarifa hizi na baadhi ya jamaa zangu hapo baraza. So naamini ni za kweli, vinginevyo hawa rafiki zangu wawe wameamua kunidanganya.Mkuu taarifa za kweli hizi?
jamani wandugu samahani hivi leo UEFA champion kuna mechi gani kali? please naomba mnijibu?
Hapo ndipo patamu. Ikiwa Mkurugenzi kasema uongo, ajutie uchochezi wake, na kama itathibitika kuwa kasema kweli, basi NECTA iwajibike!!!!!!! Tunaomba haya yasiyeyuke kama upepo unaopita, bali jamii tupate ukweli na uhakika wa jambo hili. Walioathiriwa na matokeo hayo, nao wapewe haki yao kwa kupitia (kusahihisha upya) mitihani hiyo. Naamini, mitihani yao bado iko intact.
We kichwa maji. Nakala nyingine ya matokeo ipo Jamiii Forum. Wamebadilishaje huko?. Invisible nae ni NECTA?
Hebu chukua muda kidogo ufuate link hii na kuangalia namba s.1197/0173 uone kama kuna Bookkeeping au commerce.
https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/data/s1197.htm
We kichwa maji. Nakala nyingine ya matokeo ipo Jamiii Forum. Wamebadilishaje huko?. Invisible nae ni NECTA?
To the best of my knowledge JF ipo link, unless moderators saved the original web page ukibofya link you are directed to necta site.
Mkuu hoja yako kama inafurahisha lakini ndani yake kuna ujumbe mzito sana. Unajua unaposahihisha karatasi laki nne, asilimia ya kuwa makini makini inaweza kabisa kupungua kutokana tu na uchovu, lakini inapotokea mtu/watu wachache wame-appeal basi asilimia ya umakini inakuwa kubwa zaidi, hivyo inawezekana kabisa hata pale ambapo walikubeba awali wakaangalia upya na vise versa.Wakuu mbona mtu unaweza uka-appeal unatoa pesa mtihani wako unasahihishwa upya.., (Ila tahadhari...) wakisahihisha upya wanakuwa na hasira kweli kweli unaweza ukawa ulipata II ukajikuta wakirudia unapata IV
Mkuu usihofu NECTA ya sasa imeweka kila kitu wazi sio kama zamani, unaweza kupata fomu ya ku-appeal kwenye tovuti ya NECTA (The National Examinations Council of Tanzania) pakua jaza kwa usahihi, lipia na kisha itume NECTA kwa huduma. Maelekezo yote ya malipo yapo kwenye fomu hiyo.Ndugu yangu, mwanafunzi wa shule ya kata aliyeko kijijini atapata wapi fursa ya kukata rufaa hata kama anajua wazi kuwa matokeo aliyopewa siyo sahihi
Si wamebadilisha tu kwenye system!!!! haichukui hata dakika mbili kuyarekebisha mara baada ya tuhuma kutolewa.
Na leo mzazi wa mwanafunzi asiyefanya mitihani lakini akapata daraja la 3 amethibitisha kuwa mwanaye alifukuzwa shule na hakufanya mtihani wa TaifaNa ikugundulika ni kweli na wao waburuzwe mahakamani kwa kuchakachua!
Kama ikithibitika ni kweli mtaamini madai ya kuchakachuliwa mitihani ya wanafunzi wa Kiislamu mwaka jana?
na kwanini sasa mnataka uchunguzi ufanyike na sio kabla!