mushongokle
Member
- Sep 23, 2014
- 95
- 113
upo mkoa gani?Natafuta husband material mwenye umri wa miaka angalau 30 hadi 35
Dini mkristo
Sigara, pombe asiguse
Anayejishughulisha ili aweze kuhudumia familia kama maandiko yasemavo
Mimi nina miaka 27
Elimu yangu ni ya chuo kikuu na nina ajira.
Mpole mcheshi, mwenye heshima
Ukija pm nitaeleza kwa nini nimetafuta mtu hapa kwa yule atakayeonesha usiriazi tu.
#ukija pm usiseme weka no. No. Namba hatua ya mwisho