Kwasasa nipo mwanza ila soon nitakuwa dar ukinipa namba sio mbaya pia nitakutafuta nikifika hapo town kwa details zaidi if necessaryNilikua naingia kama guest ila imebidi ni log in back kwa ajili yako
Uko dar?
Nikupe namba ya chimbo uende
Au niluelekeze mtaa
Kwa jinsi nilivyoteseka kulitafuta hilo chimbo hata kukupeleka nitakupeleka
Pia alands wenyewe wachina niliwatafuta ila wanaanzia tani moja kukuuzia
UsijaliKwasasa nipo mwanza ila soon nitakuwa dar ukinipa namba sio mbaya pia nitakutafuta nikifika hapo town kwa details zaidi if necessary
Ok shukran mkuuUsijali
0713 919 611 waarabu wenye duka
+255 783 273 756
Huyu kijana wa hapo dukani ananisaidiaga kuzigawanya sheet
Duka ipo mkabala na saphire hotel
Ila ukipiga hizo namba hupotei ndo sehem yenye bei ya mboga kabisa…ukifika nenda kwenye desk moja kwa moja maana kuna watu kama nyuki pale
Ukija uje na dagaa🥰
😂😁👍