Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
kumbe uzinduzi😀😀😀watz sijui aliyewaroga nani?🙄🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaNitapea Watanzania kumi hapa Jf dollar ya Marekani thelathini kila mmoja ,yaani $30 each ikiwa Bagamoyo itaanza kujengwa. Niko very very serious. This is not a laughing matter. Nitaanza na Geza Ulole , halafu joto la jiwe , halafu REDEEMER. , halafu mulisaaa halafu Mwanzi1 , halafu Mkikuyu- Akili timamu , halafu Barbarosa . Halafu hao wengine watatu tutaamua baadaye. Ikianza kujengwa, mje mdai haki yenu lazima nitawapa.
I am calling their bluff.hahahaha
tembo weupe wote...tuta tuta tuta😀😀Bagamoyo Port
Mtwara Port
SGR
Kigamboni City
Kawe City
FastJet
Oil Pipeline
Nikianza siwezi maliza
They've been ongoing for years - that's the problem......and they keep being launched every other day.All projects r going on
Tatizo lako wewe unachanganya kati ya project za serikali na Private projects ambapo serikali inabaki kuwa msimamizi na kutoka guarantee pekee.Nitapea Watanzania kumi hapa Jf dollar ya Marekani thelathini kila mmoja ,yaani $30 each ikiwa Bagamoyo itaanza kujengwa. Niko very very serious. This is not a laughing matter. Nitaanza na Geza Ulole , halafu joto la jiwe , halafu REDEEMER. , halafu mulisaaa halafu Mwanzi1 , halafu Mkikuyu- Akili timamu , halafu Barbarosa . Halafu hao wengine watatu tutaamua baadaye. Ikianza kujengwa, mje mdai haki yenu lazima nitawapa.
hata mimi ndio bado naishangaa😀😀...eti need I have to say more?😳😳🙄🙄That title though
Nitapea Watanzania kumi hapa Jf dollar ya Marekani thelathini kila mmoja ,yaani $30 each ikiwa Bagamoyo itaanza kujengwa. Niko very very serious. This is not a laughing matter. Nitaanza na Geza Ulole , halafu joto la jiwe , halafu REDEEMER. , halafu mulisaaa halafu Mwanzi1 , halafu Mkikuyu- Akili timamu , halafu Barbarosa . Halafu hao wengine watatu tutaamua baadaye. Ikianza kujengwa, mje mdai haki yenu lazima nitawapa.
Haha, wacha nimtoe mara mojaMtoe Barbarosa naona amepata akili na kujitoa, fuata huu uzi ameanzisha huku Kiukweli kabisa sioni "Logic” ya Bandari Bagamoyo! - JamiiForums
Nchi nzima kununua ndege moja ndio Jambo linalokutia kiwewe.😂😂😂😂Tatizo lako wewe unachanganya kati ya project za serikali na Private projects ambapo serikali inabaki kuwa msimamizi na kutoka guarantee pekee.
Mimi projects zote nilizokutajia, ni ile ambayo serikali ya Kenya inahusika na iliahidi kutafuta pesa na kuitekeleza, tofauti na Bagamoyo port, baada ya serikali kukaa chini iliamua kujitoa na kuachia private sector pekee, serikali ya Tanzania zaidi ya kuwahimiza hawa private investors kujenga, haina mamlaka ya kusukuma ujenzi huo ufanyike haraka kama inavyoharakisha miradi ya serikali kama;
1)Ununuzi wa ndege za kisasa
2)Ujenzi wa uwanja wa Ndege wa JKNIA
3)Ujenzi wa radar 4 kubwa
4)Ujenzi wa SGR
5)Ujenzi wa BRT phase 2&3
6)Upanuzi wa Dar port
7)Ujenzi wa Stieglers hydroelectric dam
8)Upanuzi wa VIWANJA vya ndege
9)Ujenzi wa Ubungo interchange
10)Ujenzi wa uwanja mkubwa wa Moira kuliko vyote Africa ukiacha Soccer city
Hii ndiyo miradi ya serikali, na yote inaenda kwa kasi ya ajabu. Tafadhali horodhesha miradi ya serikali ya Kenya inayotekelezwa kwa sasa.
They've been ongoing for years - that's the problem......and they keep being launched every other day.
😂😂bagamoyo ni ya kupagawisha. Pagawamoyo. Haya majina wabongo hutoa wapi jamani? Ucheshi mwing
Typing error, Nilitaka kuandika uwanja mkubwa wa mpira, sio Moira. Kuhusu ununuzi wa ndege saba, gharama yake ni zaidi ya $600M, pesa ambayo iliwashinda kuipata ikawalazimu kwa aibu kubwa kufuta ujenzi wa Greenfield terminal, ni pesa nyingi kuliko inayohitajika kukamilisha Galana project, miradi bora kabisa kati ya miradi yote ambayo serikali ya Kenya iliwahi kuanzisha.Nchi nzima kununua ndege moja ndio Jambo linalokutia kiwewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway, za Kenya hizi hapa.
1. Upanuzi wa JKIA kuwa the third busiest airport in Subsaharan Africa.
2. Upanuzi wa Mombasa port kuwa the second busiest in Sub-saharan Africa.
3. SGR tayari inafanya kazi - yenu bado mnazinduazindua.
4. Mnajivunia overpassoja wakati Kenya kila town ina overpass. Kisumu alone has more overpasses than the whole of Tanzania.
5. Ubungo interchange has stalled. Kenya has tens of interchanges with more under construction.
6. You have one Dreamliner that keep mentioning. Kenya airways has 8.
7. Lodwar Airport.
8. Isiolo Airport.
9. Kisumu Airport.
10. Lamu Port.
11. Nairobi Southern, Northern and Eastern bypasses
12. Thika Highway
13. Ngong Road
14. Lang'ata Road.
15. JKIA - Rironi Highway with numerous interchanges under construction now.
16. Kakamega Hospital etc etc.
Btw tuonyeshe hiyo Moira stadium unayosema ni the biggest in Africa maanake inanikalia kibagamoyomoyo.
Hehehehe yaani hadi hii inatia huruma sasa, jameni bandari ya Bagamoyo.... aki kama kuna watu watepetevu dunia hii, nawapa Watanzania marks zote.