Need I have to say more? 🚒

kumbe uzinduziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€watz sijui aliyewaroga nani?πŸ™„πŸ™„
 
mbona lamu port inakuwa lauched hivi karibuni ikiwa na berths kadhaa
 
At this rate Bagamoyo will become the national anthem of Tanzania.
 
Tatizo lako wewe unachanganya kati ya project za serikali na Private projects ambapo serikali inabaki kuwa msimamizi na kutoka guarantee pekee.

Mimi projects zote nilizokutajia, ni ile ambayo serikali ya Kenya inahusika na iliahidi kutafuta pesa na kuitekeleza, tofauti na Bagamoyo port, baada ya serikali kukaa chini iliamua kujitoa na kuachia private sector pekee, serikali ya Tanzania zaidi ya kuwahimiza hawa private investors kujenga, haina mamlaka ya kusukuma ujenzi huo ufanyike haraka kama inavyoharakisha miradi ya serikali kama;
1)Ununuzi wa ndege za kisasa
2)Ujenzi wa uwanja wa Ndege wa JKNIA
3)Ujenzi wa radar 4 kubwa
4)Ujenzi wa SGR
5)Ujenzi wa BRT phase 2&3
6)Upanuzi wa Dar port
7)Ujenzi wa Stieglers hydroelectric dam
8)Upanuzi wa VIWANJA vya ndege
9)Ujenzi wa Ubungo interchange
10)Ujenzi wa uwanja mkubwa wa Moira kuliko vyote Africa ukiacha Soccer city

Hii ndiyo miradi ya serikali, na yote inaenda kwa kasi ya ajabu. Tafadhali horodhesha miradi ya serikali ya Kenya inayotekelezwa kwa sasa.
 

Mtoe Barbarosa naona amepata akili na kujitoa, fuata huu uzi ameanzisha huku Kiukweli kabisa sioni "Logic” ya Bandari Bagamoyo! - JamiiForums
 
Nchi nzima kununua ndege moja ndio Jambo linalokutia kiwewe.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Anyway, za Kenya hizi hapa.

1. Upanuzi wa JKIA kuwa the third busiest airport in Subsaharan Africa.
2. Upanuzi wa Mombasa port kuwa the second busiest in Sub-saharan Africa.
3. SGR tayari inafanya kazi - yenu bado mnazinduazindua.
4. Mnajivunia overpassoja wakati Kenya kila town ina overpass. Kisumu alone has more overpasses than the whole of Tanzania.
5. Ubungo interchange has stalled. Kenya has tens of interchanges with more under construction.
6. You have one Dreamliner that keep mentioning. Kenya airways has 8.
7. Lodwar Airport.
8. Isiolo Airport.
9. Kisumu Airport.
10. Lamu Port.
11. Nairobi Southern, Northern and Eastern bypasses
12. Thika Highway
13. Ngong Road
14. Lang'ata Road.
15. JKIA - Rironi Highway with numerous interchanges under construction now.
16. Kakamega Hospital etc etc.

Btw tuonyeshe hiyo Moira stadium unayosema ni the biggest in Africa maanake inanikalia kibagamoyomoyo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚bagamoyo ni ya kupagawisha. Pagawamoyo. Haya majina wabongo hutoa wapi jamani? Ucheshi mwing

Hilo jina Bagamoyo huwa lina laana fulani, nafikiri itabidi walibadilishe kwanza ndio waje kufanikisha chochote huko, lilitokana na neno bwaga moyo, hapo ndipo Watanzania walikua wanachukuliwa na waarabu, akifika hapo basi hakuna kurudi tena. Jameni hawa waliteswa sana na waarabu halafu ukizingatia hao hao waarabu ndio wanamiliki uchumi wao leo.
 
Typing error, Nilitaka kuandika uwanja mkubwa wa mpira, sio Moira. Kuhusu ununuzi wa ndege saba, gharama yake ni zaidi ya $600M, pesa ambayo iliwashinda kuipata ikawalazimu kwa aibu kubwa kufuta ujenzi wa Greenfield terminal, ni pesa nyingi kuliko inayohitajika kukamilisha Galana project, miradi bora kabisa kati ya miradi yote ambayo serikali ya Kenya iliwahi kuanzisha.

Usihorodheshe idadi ya VIWANJA vya ndege, kwasababu nikihorodhesha idadi ya viwanjwa vyenye ukubwa huo wa Isiolo, huku vinazidi kumi.

Ujenzi wa barabara huku kwetu ni kitu tusichofikiria, kuna ujenzi wa Dar - Chaplinze Super high way unaendelea kwa kasi sana, huo wa Mombasa Nairobi bado ni hadithi, wakati wowote unaweza kufutwa kama Greenfield terminal ulivyofutiliwa mbali kutokana na ukosefu wa pesa.
 
Hehehehe yaani hadi hii inatia huruma sasa, jameni bandari ya Bagamoyo.... aki kama kuna watu watepetevu dunia hii, nawapa Watanzania marks zote.

Sidhani kama kuna umuhimu wa wewe kuumia,yaani sielewi ni kwanini upate tabu.
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…