Need I have to say more? 🚢

Nairobi ina magari mara mbili ya Tanzania nzima. Barabara tulizo nazo tukiwapa mtasahau mambo ya foleni kwa muda mrefu.
 
Tunajenga Dodoma stadium with capacity of 90,000 people, the biggest after Soccer city in South Africa.
Tunajenga VIWANJA vya ndege Vinci kuliko vyenu
1)Songwe international Airport Mbeya
2) Bukoba Airport
3) Chato International Airport
4)Mtwara Airport
5) Tanga Airport
6) Abeid Aman Karume International Airport- Zanzibar

Tunajenga radar kubwa sana 4 kwa Mara moja.

Tunajenga SGR ndefu kuliko zote Africa na ya kisasa, ikikamilika itagharimu $14B

Tunajenga the biggest dam katika EAC, kwa pesa ya ndani kuzalisha UMEME.

Hayo yote niliyotaja tunatumia pesa yetu ya ndani, niambie miradi mnayotumia pesa yenu ya ndani yenye thamani ya $3B pekee.
 
Nairobi ina magari mara mbili ya Tanzania nzima. Barabara tulizo nazo tukiwapa mtasahau mambo ya foleni kwa muda mrefu.
Nairobi inaingia Mara tatu kwa Dar, hizo gari zenu mkizileta ndani ya Mega city, hamtoziona kabisa, tatizo Nairobi ni ndogo sana, imeizidi kidogo sana Arusha, ndio sababu mnadhani mpo na gari nyingi.
 
Nairobi inaingia Mara tatu kwa Dar, hizo gari zenu mkizileta ndani ya Mega city, hamtoziona kabisa, tatizo Nairobi ni ndogo sana, imeizidi kidogo sana Arusha, ndio sababu mnadhani mpo na gari nyingi.

Bro wakati mwingine unawaachia ujinga wao,maana hawakulipi.ni miaka miwili tu imebaki tutaanz kuhisi tunaishusha hadhi dsm kuitaja taja uchochoroni kama humu.
 
Duuh, aise bongo tuna nafuu.
 
Nairobi ina magari mara mbili ya Tanzania nzima. Barabara tulizo nazo tukiwapa mtasahau mambo ya foleni kwa muda mrefu.

Kama kweli mna magari mengi kuliko sisi plate number zenu zisingekuwa na idadi za namba/herufi (permutations) sawa na za kwetu. Ukitumia formula hii P ( n , r ) = n! / ( n-r )! utagundua kuwa hamtuzidi idadi ya magari.
 
Unlike chinyan nimegundua watz tunatumia akili sana kwenye mijadala kuliko hizi ngamia.

Nasikia wanahesabu na behewa za SGR[emoji38][emoji16][emoji16]
 
Yaani badala uletee data kutoka TBS unaleta upuzi wa number plate?alafu nzi ingine mkorinto anakushabikia [emoji23][emoji23]kila mwaka Kenya ina import magari mengi both mpya na Mzee kuliko Tanzania simple Google search itakuonyesha ivo tumia akili
 
Mimi mwenyewe nilisema Bagamoyo Ikianza kujengwa, nitafanya lolote mtakalo niambia nifanye. Bagamoyo ni cheap CCM propaganda that has been around for 10 years
Bagamoyo port has never been in Talking over 5 years, stop exaggerating. Only immediately after Xi Jinping visit.
 
Yaani badala uletee data kutoka TBS unaleta upuzi wa number plate?alafu nzi ingine mkorinto anakushabikia [emoji23][emoji23]kila mwaka Kenya ina import magari mengi both mpya na Mzee kuliko Tanzania simple Google search itakuonyesha ivo tumia akili
Kuna kitu kinaitwa "counting without counting" yaani unaweza kujua idadi ya vitu bila hata ya kuvihesabu.

Moja ya vitu wanavyo angalia katika kudesign hizo plates (tags) ni kuwango cha juu cha magari ya sehemu husika inaweza kuwa nayo. Sasa wakishafanya makadirio hayo ndipo wanaangalia jinsi ya kuzipanga namba za magari bila kujirudia rudia. Magari ya Kenya na Tanzania yana idadi sawa ya namba na herufi, kwa hiyo idadi ya magari baina ya nchi hizo hayawezi kuwa tofauti kivile.
 
Ebu tuonyeshe picha za hizo project unasema ziko under construction.
 
This is the most ridiculous logic I've ever come across. Go back to school.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…