Yaani badala uletee data kutoka TBS unaleta upuzi wa number plate?alafu nzi ingine mkorinto anakushabikia [emoji23][emoji23]kila mwaka Kenya ina import magari mengi both mpya na Mzee kuliko Tanzania simple Google search itakuonyesha ivo tumia akili
I can guarantee you the source of this information is Kenyan, but let me tell you the difference between Kenyans and Tanzanians.
Umepata picha baada ya siku mbili.
Kugeuza goli tushakuzoea. I simply told you Nairobi has way more vehicles than Tanzania combined. Vile ulikua ukibisha hukujua Kenyans live above their financial capability?I can guarantee you the source of this information is Kenyan, but let me tell you the difference between Kenyans and Tanzanians.
Kenyans live above their financial ability, Tanzanians are completely opposite, If More would be a Kenyans, they he would have purchased jets, helicopters and entourage of more than ten cars security.
No any rich person in Tanzania with person ,24/7 security. We are very cost conscious and we hate publicity, while Kenya you enjoy publicity hence you spend beyond your means.
Nairobi hamna 10 lanes! Kawadanganye wa Naija. Barabara ya Kimara-Kibaha itakua na 8lanes, six za magari ya kawaida 2 za BRT ambayo Nai mmeshindwana nayo.Sisi tuna 10- lanes 50 km Thika superhighway, the best road in East Africa opened in 2013 by mzee Kibaki. Nyinyi endeleeni kufurahia 6--lane 20 km roads.
Actually, some sections of Thika Road have 12 lanes. Toa povu kabisaNairobi hamna 10 lanes! Kawadanganye wa Naija. Barabara ya Kimara-Kibaha itakua na 8lanes, six za magari ya kawaida 2 za BRT ambayo Nai mmeshindwana nayo.
Mimi ni Mkenya mimi ndio ninakuambia ipo. Kama huamini, sina muda wa kulazimisha ng'ombe kunywa majiNairobi hamna 10 lanes! Kawadanganye wa Naija. Barabara ya Kimara-Kibaha itakua na 8lanes, six za magari ya kawaida 2 za BRT ambayo Nai mmeshindwana nayo.
Sijageuza goli lolote, nimekuambia hiyo source ni mkenya hiyo, haina ukweli wowote zaidi ya hili eneo nililokuambia. MO Dewji anfekuwa Kenya, angekua na Private jets 2, helicopters 4 na private cars 15. Tanzania ana MAGARI mawili tu, bila ulinzi.Kugeuza goli tushakuzoea. I simply told you Nairobi has way more vehicles than Tanzania combined. Vile ulikua ukibisha hukujua Kenyans live above their financial capability?