Needed used pump za mafuta

Needed used pump za mafuta

Sita Sita

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2008
Posts
1,397
Reaction score
520
Greetings wanaJF

Niko hapa leo kutafuta information kuhusu Used Pump za kuuzia mafuta ya taa au petroli.

Nimeshaulizia vituo kadhaa vya kuuza mafuta lakini sijabahatika kupata.

If there is anyone with more info please let me kno.

NAWASILISHA
 
avatar11750_1.gif
we unahitaji pump za kutumia kwenye kituo cha mafuta/petrol/diesel? au mafuta ya uswazi?
 
mkuu pump za uswazi

Ningekua Big Bon nigezifata Dubai
 
Back
Top Bottom