Neema Akeyo alivyolipwa mshahara wake na NMB Plc baada ya kufukuzwa kazi kwa kutohudhuria kazini siku ya Jumamosi

Mwamedi hakusema chochote kuhusu kupumzika ijumaa
 
Hiyo chai haichemshwi!?
 
Hii itasababisha wasabato wasiajiriwe ktk taasisi ya NMB milele,na taasisi nyingine pia zitawaogopa
 
Siku za mapumziko ziwe tatu Ijumaa,jumamosi na jumapili,ila roma waliweka jumapili kwa sababu wanatawala dunia nzima kasoro korea kaskazini,Urusi,Irani,Afghanstani,Qatar na Zanzibareee!
 
Alafu ukute Sabato yenyewe alikuwa anaenda kubanduana
[emoji849]
 
Si ndo chanzo cha wapare kupika kande wanaweka ijumaa mpaka jumapili
 
Mimi si Muislam lakini niliwahi kusikia kuwa dini yao inasema baada ya Swala Ijumaa watu wanaweza kurudi kwenye majukumu yao. All in all Waislamu huwa hawana complications hasa kwa mambo ambayo hayaoneshi kuutweza Uislamu
Kuna Mtumishi Fulani hapa, Muislam yet akishafika kazini siku ya Ijumaa. Akishamaliza ripoti ya Asubuhi tu, na ndio kazi imeisha Hapo.

Hafanyi kazi tena.
 
Wasabato kuna shida

Mungu alisema tanya kazi siku sita ya saba pumzika hakutaja jumamosi popote kwenye Biblia kuwa hiyo siku ya saba ni jumamosi
 
Haya mambo ya imani hayajawahi kuwa rahisi hata siku moja. Kuna wale wengine mtu wao akiishiwa damu hawaruhusu huyo mgonjwa kuongezewa damu. Wengine dini yao hairuhusu kupigana vita kwaiyo ikitokea nchi imevamiwa na ikalazimika kuingia vitani wao wanaendelea na vinubi na mapambio hawataki kwenda vitani kutetea nchi.
 
Huyo Ana na kauvivu chake tangia na hapo. Sasa tuseme kama kwa huku Kwetu zaidi ya asillimia tisini ni waislam. Wakisema Ijumaa waje kuripoti tu kazini na kuondoka hizo kazi atazifanya nani siku nzima!?

Waumin wanatakiwa waende mskitini wakimaliza kuswali warudi kwenye majukumu yao kama kawaida. Na ibada ya sala ya ijumaa ukitaka hasa kufuata na kila sunna zake basi haizidi masaa mawili.
 
Kwahiyo na waislamu wasiwe wanaenda kazini siku ya ijumaa?
 
Kwahiyo wenzie wakifanya kazi siku 6 yeye anafanya kazi siku 5.
Kwa muktadha wa makabrasha mengi na zikiwepo kalenda mbalimbali zinaonyesha siku ya kwanza ya juma ni jumapili, ambayo anapaswa kufanya kazi mpaka ijumaa siku ya sita.
 
Kwa muktadha wa makabrasha mengi na zikiwepo kalenda mbalimbali zinaonyesha siku ya kwanza ya juma ni jumapili, ambayo anapaswa kufanya kazi mpaka ijumaa siku ya sita.
Sisi tunatumia calendar ambayo mwanzo wa wiki ni juma3. Shule mwisho ijumaa na baadhi jumamosi na jumapili mapumziko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…