Neema Gosple Choir mmeshindikana

Ile kuruka ruka ni old style yalikjwa mazoea. Praise wanayofanya neema gospel choir ndio praise sasa
Miaka ile waliamini style za praise, live recording ni mambo ya kina John lisu pekee na kwaya ni mambo ya ibadani na mikutano ya injili

Kwa hilo neema gosple wamepiga hatua kubwa sana
 
Wako vzr kwakweli,waimbaji wengi wa AIC Shinyanga/Kambarage wamejaa humo.
Japo wapo kutoka Makanisa mengine kama KKKT ila hawa watu wanarecruiting nzuri toka kule AIC ilipozaliwa hasa Mwanza, shinyanga na Tabora kuanzia wapiga vyombo na waimbaji na walimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…