Neema imetuangukia wana udsm.

Neema imetuangukia wana udsm.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kilio cha vijana wa udsm ambao walikua hawajui watarudije chuon kutokana na wengi wao kukosa nauli,kimesikika,na leo account zetu zinasomeka fresh..
 
Mkuu Senator hongereni sana!
 
Hahahahahahaaaaa. Hureeeee! Ijumaa naingia chuoni. Nimevuta siku nipo home nasubiria mzigo iwekwe.

Duh, ila nisifurahi sana, wenzetu wa SAUT itakuwaje?
 
Kilio cha vijana wa udsm ambao walikua hawajui watarudije chuon kutokana na wengi wao kukosa nauli,kimesikika,na leo account zetu zinasomeka fresh..

folen itaongezeka manzese kafuteria
 
Hahahahahahaaaaa. Hureeeee! Ijumaa naingia chuoni. Nimevuta siku nipo home nasubiria mzigo iwekwe.

Duh, ila nisifurahi sana, wenzetu wa SAUT itakuwaje?

me kesho niko ndani ya jiji mkuu.
 
Wameogopa Mziki huo kusingekalika hapo UD.......ngoja tukakate Nondo sasa.......
\cheza na kila kitu si kuchelewesha BOOM UDSM..........
 
umetisha mkuu wangu senetor,ndani ya nyumba kesho,siko mbali niko hapa mail moja kibaha,nilisusa tu.
 
dah!!ndo nimeamin kwel udsm tunasoma watoto wengi wa maskini,yani chuo kinafunguliwa,then wanafunzi hawaji coz ya kukosa pesa!!
 
umetisha mkuu wangu senetor,ndani ya nyumba kesho,siko mbali niko hapa mail moja kibaha,nilisusa tu.

pamoja sana kamanda,ingawa inaniuma coz hili ndo bumu langu la mwisho.
 
kumbe wakusoma mpo wengi!
Wake zetu wachumba zetu na watoto wetu watapata shida sana kwa wiki mbil hizi.
 
Back
Top Bottom