NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

 
"huku kesi za ICSD dhidi ya Tanesco wanazojishtaki wenyewe zikiendelea kupamba moto", kumbuka hawa wanaoishitaki Tanesco watashinda kesi kama kawa, sasa ukitoa pesa ya kununulia yale magari yenye vinu vinane(v8) kwa ajili ya wakuu wa wilaya na futari za kila siku lazima watoto wakae chini.
 
 
Mwamba(JPM) alisema " mara tu mradi huo wa umeme utakapokamilika, bei ya umeme itapungua kwa kiasi kikubwa sana.
 
Mwamba(JPM) alisema " mara tu mradi huo wa umeme utakapokamilika, bei ya umeme itapungua kwa kiasi kikubwa sana.
Inaumiza na kushangaza sana kuona wanafungulia maji ili umeme umwagikie chini na bei ibaki pale pale juu…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…