Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

Kweli
f0dbe4058e5e4ef397d5691f06eabbc5.jpg
 
ilitakiwa iwe chini ya 5% kea bank zote, kama mkakati wa kuwainua watanzania kiuchumi, Serikali inapaswa kuwabana mbavu riba ziwe chini ya 5%....kwa wafanyakazi na wasiwafanyakazi....
 
CRDB Bank malofa tuu, wameajiri majambazi, bank za ovyo hovyo kama CRDB mnatafuta nini? kwa wapuuzi hawa. Hili bank lifutwe tuu limejaa wafanyakazi vibaka, wahuni, matapeli, malimbukeni, majizi, wezi na majambazi tuu hamna lolote.
 
WENGI HAWAJUI HILI
Technically wata rise other hidden bank charges na insurance. Hakuna bepari anayetaka kuoata hasara . Ungiangalia inflation rate ya riba ya 13% kwa miaka saba? Lazima kuna kitu cha kijifikirisha
 
Back
Top Bottom