Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

Mama anazidi kuupiga mwingi Sana.
 
Kama unapunguza riba kwenye mikopo ya kilimo na wafanyakazi Halafu kwenye biashara hakuna punguzo maana yake ni kwamba Bongo biashara haifanyi vizuri,bora watu waingie kwenye kilimo na kuajiliwa
 
SSH hajawahi shawishi jambo likafeli,matamko mengi Sana yaliwahi tolewa kwa mabenki kushusha riba,lakini Rais aliwataka washushe na wameshusha.
 
CRDB Bank malofa tuu, wameajiri majambazi, bank za ovyo hovyo kama CRDB mnatafuta nini? kwa wapuuzi hawa. Hili bank lifutwe tuu limejaa wafanyakazi vibaka, wahuni, matapeli, malimbukeni, majizi, wezi na majambazi tuu hamna lolote.
Mkuu kwanini unasema hivi? Ni juzi tu nimetoka kufungua account mpya CRDB baada ya kuwatumia NMB kwa muda mrefu kidogo.
 
Good news kwa wakopaji
 
Siku wakfika single digit ndio ntaenda kukopa.

#MaendeleoHayanaChama
 
NMB ni wakukimbiwa.
Wanajifanya Kauzu hawashushi.
 
CRDB Bank malofa tuu, wameajiri majambazi, bank za ovyo hovyo kama CRDB mnatafuta nini? kwa wapuuzi hawa. Hili bank lifutwe tuu limejaa wafanyakazi vibaka, wahuni, matapeli, malimbukeni, majizi, wezi na majambazi tuu hamna lolote.
Una ushahidi na hayo uliyo yaandika hapo?
 
Hiyo Mikopo Itatolewa Kwa Kwa Kanuni ya Flat Interest Rate Au Reducing Balance !!??
The flat rate is calculated on the loan principal amount. The reducing balance rate method calculates the interest rate monthly on the outstanding loan amount. Reducing balance rates are generally higher than flat interest rates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…