Neema kwa wakulima: Nauza Plastic Film za Greenhouse

The Saver

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
204
Reaction score
751
WanaJF nimefanikiwa kupata Plastic Film za kujengea Greenhouse, Unaweza ujengea sehem yenye ukubwa wa
Width 8M , Lenght 30M na height 3.5M, Bei yake ni 1.2Million.

Hii plastic film in sifa zifuatazo inaweza kutumu kat ya miaka 7-8, inauwezo wa kuzuia strong wind, thickness yake ni 200 Micron and in anti insect etc

Kwanini nimeamua kuuza hizi plastic film
1. Unaweza kununua materials wewe mwenyewe na kutafuta mtaalam wa kukujengea greenhouse
2. Vitu ambavyo unaweza kuandaa wewe mwenyewe ni kununua Plastic film, miti za kujengea greenhouse ( hapa andaa kama laki 2,) bomba za kufanya drip irrigation(bomba za 3/4 mita 300 bei 160,000)
3.Kupima udongo na maji tafuta mtaalum
4.Andaa shamba lako lkini liwe katika usawa wa tambarare

Tafuta mtaalam wa kukufanyia setting na kukupandia mbegu unazotaka

NiPM kama utakuwa unahitaji plastic Film
 
WanaJF nimefanikiwa kupata Plastic Film za kujengea Greenhouse, Unaweza ujengea sehem yenye ukubwa wa
Width 8M , Lenght 30M na height 3.5M, Bei yake ni 1.2Million.

Hii plastic film in sifa zifuatazo inaweza kutumu kati ya miaka 7-8, inauwezo wa kuzuia strong wind, thickness yake ni 200 Micron and in anti insect etc

Still bei ziko juu mkuu.
Watu wanawekaga hata zile net za parking ya magari, zile kama za SKYSHADES na bei nafuu tu hata laki 8 kwa ukubwa Huo!!

Mkuu Shark kama utaweza kupata hiyo kwa laki nane haina shida
 
Last edited by a moderator:
WanaJF nimefanikiwa kupata Plastic Film za kujengea Greenhouse, Unaweza ujengea sehem yenye ukubwa wa
Width 8M , Lenght 30M na height 3.5M, Bei yake ni 1.2Million.

Hii plastic film in sifa zifuatazo inaweza kutumu kati ya miaka 7-8, inauwezo wa kuzuia strong wind, thickness yake ni 200 Micron and in anti insect etc

Kwanini nimeamua kuuza hizi plastic film
1. Unaweza kununua materials wewe mwenyewe na kutafuta mtaalam wa kukujengea greenhouse
2. Vitu ambavyo unaweza kuandaa wewe mwenyewe ni kununua Plastic film, miti za kujengea greenhouse ( hapa andaa kama laki 2,) bomba za kufanya drip irrigation(bomba za 3/4 mita 300 bei 160,000)
3.Kupima udongo na maji tafuta mtaalum
4.Andaa shamba lako lkini liwe katika usawa wa tambarare

Tafuta mtaalam wa kukufanyia setting na kukupandia mbegu unazotaka

NiPM kama utakuwa unahitaji plastic Film

Mkuu nimeshindwa kuelewa hapo kwenye red, unaweza kutoa ufafanuzi kidogo tafadhari kama hutojali
 
Mkuu hii ni mojawapo ya material inayoitajika katika ujenzi wa greenhouse unanunua bomba kwa ajili ya umwagiliaji
kwa greenhose moja unahitaji bomba urefu wa mita 300 nchi 3/4 bei yake ni 160000
 
Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi wako huu,

Mimi kesi yangu ni tofauti kidogo, nina shamba la migomba mahala, ninataka nilipanue nianze kulimwagilia kwa maji ya tank na mfumo ninaoutaka ni huu wa kutumia drips au mambomba ya kutandaza chini,

Kwa bomba la upana wa inchi 3 nafikiri litatosha, sasa kwa upana(diameter hio) na kwa urefu wa mita 300 utaweza kuniuzia kwa bei gani, au kama huna dizaini hii, unaweza kufahamu bei yake ni shillingi ngapi sokoni.

Sorry kwa usumbufu
 
@asigwe sorry kwa kuchelewa kukujibu

unaweza kufany hiyo drip irrigation kwa hilo shaamba la migomba huitaji bomba la nchi 3 bali tumia mabomba madogo yao nchi 3/4 au 1, Faida mojawapo ya kutumia drip irrigation ni kuwa maji yanaenda kidogo kidogo cost saving na kila mmea unapata maji ya kutosha

Mabomba ya nchi 3/4 mita 150 nenda KKoo wanauza 80,000
nchi 1 90,0000
 
Back
Top Bottom