Produced locally? Or imported?
Still bei ziko juu mkuu.Imported
WanaJF nimefanikiwa kupata Plastic Film za kujengea Greenhouse, Unaweza ujengea sehem yenye ukubwa wa
Width 8M , Lenght 30M na height 3.5M, Bei yake ni 1.2Million.
Hii plastic film in sifa zifuatazo inaweza kutumu kati ya miaka 7-8, inauwezo wa kuzuia strong wind, thickness yake ni 200 Micron and in anti insect etc
Kwanini nimeamua kuuza hizi plastic film
1. Unaweza kununua materials wewe mwenyewe na kutafuta mtaalam wa kukujengea greenhouse
2. Vitu ambavyo unaweza kuandaa wewe mwenyewe ni kununua Plastic film, miti za kujengea greenhouse ( hapa andaa kama laki 2,) bomba za kufanya drip irrigation(bomba za 3/4 mita 300 bei 160,000)
3.Kupima udongo na maji tafuta mtaalum
4.Andaa shamba lako lkini liwe katika usawa wa tambarare
Tafuta mtaalam wa kukufanyia setting na kukupandia mbegu unazotaka
NiPM kama utakuwa unahitaji plastic Film
Mkuu nimeshindwa kuelewa hapo kwenye red, unaweza kutoa ufafanuzi kidogo tafadhari kama hutojali
Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi wako huu,Mkuu hii ni mojawapo ya material inayoitajika katika ujenzi wa greenhouse unanunua bomba kwa ajili ya umwagiliaji
kwa greenhose moja unahitaji bomba urefu wa mita 300 nchi 3/4 bei yake ni 160000
Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi wako huu,
Mimi kesi yangu ni tofauti kidogo, nina shamba la migomba mahala, ninataka nilipanue nianze kulimwagilia kwa maji ya tank na mfumo ninaoutaka ni huu wa kutumia drips au mambomba ya kutandaza chini,
Kwa bomba la upana wa inchi 3 nafikiri litatosha, sasa kwa upana(diameter hio) na kwa urefu wa mita 300 utaweza kuniuzia kwa bei gani, au kama huna dizaini hii, unaweza kufahamu bei yake ni shillingi ngapi sokoni.
Sorry kwa usumbufu