Neema kwa wamachinga hii hapa! Kila machinga kuondoka na kitita

Tunakwenda kutengeneza taifa la vibaka na majambazi,
Ngoja mvua zianze mje muone shughuli yake[emoji3525]
 
Wamachinga sio wapiga kura tena. Hata wakipiga nani anapoteza muda kuzihesabu??
Machinga, wakulima, wavuvi, na wananchi wanyonge wote hawana issue tena kwenye uchaguzi.

Uchaguzi unasimamiwa na kuamuliwa na vyombo vya dola vilivyo chini ya rais. Kwahiyo rais Samia ana 100% ya kushinda uchaguzi
 
Imekula kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…