Mmiliki wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) MOHAMMED DEWJI katika mtandao wake wa twitter amesema kuwa ameiagiza kampuni yake ya kurecycle chupa nyeusi za mo energy kuzinunua chupa hizo.
Hii ni furs kwa waokota machupa barabarani kwani chupa hivi zinakwenda kupanda thamani.
chupa hizi viwa dili mitaa pia itakuwa safi pamoja na sehemu za mitaro, mito na bahari kupunga uchafu huu wa chupa.
TUTUMIE FUSA