Neema Mwandamila asema bungeni ni kuzuri, kutoka unaweza kutamani kutoa roho ya mtu

Roho za mauaji zinawatokea kinywani.

Behind the scenes, bungeni kunaogofya!
 
Umekosea kuisema, sasa ikitokea utakuwa ni wewe
 
Kuna mbunge humo ndani ni bosi bosi tu, alimchapa mtu bakora ya kichwa hadi akazimia kisa Ubunge!!

Huyo dada kasema ukweli.
Wapo waliotoa watoto wao kafara, mwingine alimtoa mkewe kafara.
 
Umekosea kuisema, sasa ikitokea utakuwa ni wewe
Ndiyo maana mwenye akili timamu huwa anatafakari kabla ya kuongea kuogopa madhara baadaye.....Mi nakukumbusha tu nawewe usikurupuke
 
Wanachanganyikiwa maana 340,000 kwa siku bado 12M kwa mwezi
 
Kama babu tale katoa kafara Mke, iweje huyu mbibi ashindwe kutoa roho ya mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…