NEEMA tuliyonayo sasa ukomo wake ni siku UNYAKUO

NEEMA tuliyonayo sasa ukomo wake ni siku UNYAKUO

Asante mkuu.... huo unyakuo unawahusu watakatifu wote au baadhi
Ndio watakatifu namaanisha waliookoka wote Kwa kumwamini Yesu Kristo ndo watakatifu watakaokua hai na wote waliokufa tokea mwanzo mpka hapo utakapotokea (wathesalonike 4:16-17)

na hao waliokufa watanyakuliwa ndo huo ufufuo wa kwanza .
ufufuo wa pili utawahusu wote waliozaliwa baada ya unyakuo na kufa katika kristo na wote ambao hawakumuani Yesu Toka kuumwa Kwa ulimwengu kwaajili ya hukumu kuu
 
Asante... unaweza kunambia tofauti kati ya kuja kwa YESU mara ya pili na unyakuo ?
 
Unasema unyakuo utatokea muda wowote ,huo ni upotoshaji WA injili za miaka ya 90 kwamaana biblia inasema baada ya dhiki (Mathayo 24:29-31)kuu ndio unyakuo utatokea sasa na dhiki kuu yenyewe biblia inasema utatokea dhiki ambayo haijawai kutokea

Sasa najiuliza je Kuna dhiki gani ambayo tumesha kutana nayo mpka sasa ambayo haijawai kutokea .
Umezingumzia Habari za kufungwa kipindi cha Neema umesahau baada ya unyakuo lakini biblia inasema injili itahubiriwa hata baada ya unyakuo(Ufunuo 11:3, Ufunuo 14:6-7) na hiyo ni kwasababu watu wataendlea kuzaliana

Mathayo 24:29-31
“Mara baada ya dhiki ya siku hizo, jua litatiwa giza, mwezi hautaangaza, nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za mbingu zitatikiswa. Kisha, ishara ya Mwana wa Mtu itaonekana angani, na hapo makabila yote duniani yatalalamika; watamwona Mwana wa Mtu akija juu ya mawingu ya angani mwenye nguvu na utukufu mwingi. Naye atawatuma malaika wake wenye tarumbeta la kuvuma sana, nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, toka mwisho huu wa mbingu hadi mwisho huu.

Baada ya UNYAKUO WA kwanza WA WATAKATIFU kama ilivyo andikwa katika Luka 17:34-36

Neno: Bibilia Takatifu
34 Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa wamelala kitanda kimoja; mmoja atachukuliwa, mwingine ataachwa. 35 Wana wake wawili watakuwa wanatwanga pamoja; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.” [ 36 Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.]

Bado kuna watu katika wale walioachwa na UNYAKUO WA kwanza ,watakataa kupokea CHAPA ya MNYAMA na kuvumilia MATESO YOTE YA DHIKI KUU MPAKA MWISHO bila KUFA Hawa nao wataokolewa..

Sawa sawa na andiko
Mt 24:13
Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.

Na watakuwa na alama ya YESU kwenye paji za nyuso zao ,na hata ABADONI,APOLIONI hatawadhuru Hawa mpaka Ufunuo 7:3 na Ufunuo 9:4), maafa na hukumu zinapoachiliwa duniani, wale wenye alama ya Mwanakondoo au muhuri wa Mungu kwenye paji za nyuso zao wanaamriwa wasidhuriwe.

WATAKAOKUFA KATITI YA DHIKI KUU waliopokea chapa ya mnyama ,nao WATAENDA moja kwa moja PEPONI KUUNGANA na WATAKATIFU

Watakaosalia hali huku wakiwa wamevumilia mateso bila kupokea CHAPA ya MNYAMA,nao watakuja kuchukuliwa SAWA SAWA na andiko ulilolisema
Mathayo 24 29 31Lakini mara baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika.
³⁰ Ndipo itakapoonekana ishara ya Mwana wa Adamu mbinguni; na ndipo mataifa yote ya duniani watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi.
³¹ Naye atawatuma malaika zake wenye sauti kuu ya tarumbeta, nao watawakusanya wateule wake kutoka pepo nne, tangu mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu."

INJILI KUHUBIRIWA NA MASHAHIDI WAWILI NI SAHIHI
Ufunuo 11:3
Nami nitawapa nguvu mashahidi wangu wawili, nao watatoa unabii siku elfu na mia mbili na sitini, wakiwa wamevikwa magunia."

Ndiyo NEEMA Ile izuiayo mabaya ya DHIKI kuu yasitupate hiyo itazuiwa,ndio MAANA mabaya ya DHIKI kuu yatatokea baada ya UNYAKUO SAWA SAWA na andiko
2 Wathesalonike 2:7, Maana ile nguvu ya siri ya uasi tayari inatenda kazi, lakini yule anayeizuia ataendelea kufanya hivyo hadi atakapoondolewa."

Ufunuo 11:3
INJILI ITAHUBIRIWA na MASHAHIDI WAWILI , lakini si makanisani,mana makanisani waumini watawapiga mawe wachungaji wao KWA kuwaambia nyie wachungaji ndio mlitusababishia sisi tukaachwa na UNYAKUO kama mgelihubiri kweli tusingeachwa na UNYAKUO na watawaambia kumbe na nyie mumeachwa na UNYAKUO itakuwa ni fujo na kutakuwa na KIU ya NENO, watatafuta NENO lakini hawatalipata mpaka Hawa MASHAHIDI WAWILI wayakaposhushwa lakini KWA sababu ya MFUMO WA MPINGA KRISTO unaopinga injili ya KRISTO na wakristo kuwatesa nao WATAUAWA lakini watafufuka siku ya tatu na NUSU na kupaa mbinguni.

Ufunuo 11:11-12. Baada ya mashahidi hao wawili kuuawa na "mnyama atokaye kuzimuni" na miili yao kuachwa barabarani kwa siku tatu na nusu, Mungu atawafufua na kuwapandisha mbinguni.

¹¹ Na baada ya zile siku tatu na nusu, upepo wa uzima utokao kwa Mungu ukawaingia, wakasimama juu ya miguu yao; na hofu kuu ikawaangukia wale waliowatazama.
¹² Wakasikia sauti kuu kutoka mbinguni ikiwaambia, Pandeni hata huku. Wakapanda mbinguni katika wingu, adui zao wakiwatazama.
 
Ila tafiti za vinasaba vya binadamu wote ukiacha haya ma REPTILIA MANEFILI na majini upili yenye mchanganyiko WA binadamu na majini,ila binadamu wote halisi Wana vinasaba AMBAVYO codes namba zake kwa herufi za kiebrania Zina andika jina la MUNGU,Wana UUNGU NDANI YAO ndio MAANA Mungu anawaita wanadamu wote ni WATOTO WAKE Yani kila mwanadamu ana nafasi ya kusamehewa dhambi zake na KUJIONA pepo,hiyo ni inborn heritage.urithi WA asili
Kusema kwamba binadamu wote ni watoto wa Mungu ni upotoshaji Kuna aina mbili za wana wanna wa Mungu na wana wa Adam .

Wana waMungu ni waliookoka maana wanaroho wa Mungu soma kuhusu wanna wa Mungu (Yohana 1:12,warumi 8:14, wagalatia 3:16,1 Yohana 3:2). Wana wa adamu ndo ambao bado hawamwamini Yesu bado wameibeba asili Yao ya dambi (warumi 5:12)

Ukielewa hapo hutaitafsiri mwanzo 6:1 kuwa mapepo au malaika walioana na wanadamu kma kitabu chakishetani cha henoko kinavodai ,wna wa Mungu hapo ni waliookoka na hao wana wengine ni ambao hawajaokoka, biblia inasema malaika Hawaoi Wala kuolewa (Mathayo 22:30) japo yanaweza kutesa na kuhangaisha wanadamu
 
Wanasema UNYAKUO utatokea kabla ya DHIKI kuu wapo sawa kwa asilimia mia moja 💯na wanasema UNYAKUO utatokea baada ya dhiki kuu nao wapo sawa kwa asilimia mia moja 💯

Kwa sababu kila kundi Lina maandiko yanyao support kwenye biblia.
 
Ni jinsi unavyoyaelewa hayo maandiko yote mawili na utakavyo ongozwa Rohono moyoni mwako.
 
Asante... unaweza kunambia tofauti kati ya kuja kwa YESU mara ya pili na unyakuo ?
Ndio Kuna utofauti kwenye kunyakuliwa Yesu hatashuka tutamlaki mawinguni na kwenda mbinguni 1 thesalonike 4:17.

Ujio wa pili ni ule Yesu atarudi duniani kuja kutawala miaka 1000 shetani akiwa amefungwa soma Ufunuo 20:1-6.

Kwahyo mtiririko uko hivi dhiki kuu kisha unyakuzi kisha kutawala Kwa kristo miaka 100(ujio wa pili) kisha vita kuu dhidi ya watakatifu kisha ufufuo wa pili kisha hukumu kuu kisha nchi mpya na mbingu mpya nimesamarize sana mkuu ila kama inasoma biblia unaweza pata picha
 
Wakati tunamlaki mawinguni, waovu watakuwa wapi?
 
Kusema kwamba binadamu wote ni watoto wa Mungu ni upotoshaji Kuna aina mbili za wana wanna wa Mungu na wana wa Adam .

Wana waMungu ni waliookoka maana wanaroho wa Mungu soma kuhusu wanna wa Mungu (Yohana 1:12,warumi 8:14, wagalatia 3:16,1 Yohana 3:2). Wana wa adamu ndo ambao bado hawamwamini Yesu bado wameibeba asili Yao ya dambi (warumi 5:12)

Ukielewa hapo hutaitafsiri mwanzo 6:1 kuwa mapepo au malaika walioana na wanadamu kma kitabu chakishetani cha henoko kinavodai ,wna wa Mungu hapo ni waliookoka na hao wana wengine ni ambao hawajaokoka, biblia inasema malaika Hawaoi Wala kuolewa (Mathayo 22:30) japo yanaweza kutesa na kuhangaisha wanadamu

Wanadamu wote wamepewa NEEMA ya kufanyika watoto WA Mungu,na YESU alikuja KWA AJILI Yao na sisi tulipata NEEMA ya kuokolewa inatupasa kuwahubiria mataifa ili nao waache dhambi wamwamini ili wafanyike kuwa Wana,nilichokisema wanadamu wote halisi Wana nafasi na NEEMA ya kutubu na KUMWAMINI Yesu nankufanyika kuwa Wana WA Mungu.Na ndio mavuno ya Yesu tuwatafute nankuwatafuta wenye dhambi waokoke.

Naamini KITABU CHA HENOKO naamini malaika walioasi walitupwa DUNIANI wakawaona wanawake wakiwa wanaoga moyoni wakawatamani wakazaa nao majitu MANEFEFI NEPHILIM ambayo yalikuwa makatili sana na yaliwafundisha wanadamu uchawi na maasi na SILAHA za vita,na uharibifu haya MANEFILI ndio tunayaona moja wapo ni GOLIATH na yale majitu marefu.

Naamini uwepo WA viumbe AMBAVYO ni NUSU majini NUSU binadamu ambao wanaishi kati kati YETU ,ikiwemo ma REPTILIA wameji disgusting kama wanadamu among us wengine ni public figures watu mashuhuru wengine ni ordinary people wakiwa na agenda za kuzimu,..ikiwemo watoto wanaopatikana kupitia waganga WA kienyeji,ikiwemo watoto wanaopatikana kupitia ndoa za majini hata kuzini na majini ndotoni,spiritual husbands and spiritual wives,na huzaa naoa watoto NUSU watu NUSU majini ,wapo wanaishi wakiwa na NAFSI za chatu,au mamba,hata katika maombi ukiombea watu au shuhuda za watu utawaona wapo..Si kila MTU unakutana naye barabarani ni mwanadamu.Shuhuda zipo nyingi SANA ukifuatilia utazipata.
 
Basii
 
Binafsi siamini kama kuna unyakuo ndio maana nakuuliza ili ni link na kile ninachoamini nione kipi ni sahihi... ukipata mda utanitag mkuu
Kutokuamini kuhusu unyakuo hakubadili uhalisia ila ukiwa na nia ya kutaka kuujua ukweli utajua tu ukichimba
 
Wanasema UNYAKUO utatokea kabla ya DHIKI kuu wapo sawa kwa asilimia mia moja 💯na wanasema UNYAKUO utatokea baada ya dhiki kuu nao wapo sawa kwa asilimia mia moja 💯

Kwa sababu kila kundi Lina maandiko yanyao support kwenye biblia.

Kwa Mimi binafsi nilivyoelewa na kwa shuhuda za watu wanotokewa na YESU hata watoto wadogo YESU ANAWAAMBIA ANAKUJA KUCHUKUA KANISA anakuja kuwachukua watubu dhambi wawe tayari..UNYAKUO utatokea muda WOWOTE ,WENGI wanatokewa na kupokea maono Yesu ANAWAAMBIA nakuja kuwachukua UNYAKUO waache dhambi watupu wawe tayari..

naamini pia UNYAKUO WA baada ya dhiki kuu japo kwa wale watakaovumilia mpaka MWISHO bila kupokea CHAPA ya MNYAMA watakaovumilia prosecution WATAKAO acha vyote KWA AJILI ya Yesu,ambao wao HAWATAISHI KWA MKATE TU BALI KWA NENO wataishi kwa miujiza ya Mungu,nao watanyakuliwa lakini baada ya kuvumilia MATESO makali sana KWA muda WA miaka mitatu na NUSU Tena kama miaka ya DHIKI kuu isingepunguzwa kutoka 7 mpaka mitatu na NUSU hakuna hata Mmoja angeweza kustahimili mateso hayo makali.

SO NI BORA KUOKOKA sasa hivi wakati huu WA NEEMA HII KUBWA ili akija Yesu akukute upon tayari, kuliko kusuburi mpaka baadae eti uokoke wakati wa dhiki kuu ya mateso
 
Mkuu huoni kama ni contradiction, maana biblia pia inaweza kusema jino kwa jino na mtu akatumia akijua ni kweli bila kuzingatia ina maana gani na wakati gani

Hakuna contradiction UNYAKUO utatokea KABLA YA DHIKI KUU

**HOJA kuu kabisa ni hii
Wathesalonike 2:7-8 — "...lakini yuko azuiaye sasa, hata atakapoondolewa. Ndipo atakapofunuliwa yule mwasi..."
(Hoja: Ikiwa "azuiaye" ni Roho Mtakatifu anayekaa ndani ya Kanisa, Kanisa lazima liondolewe duniani (Unyakuo) ndipo Mpingakristo aweze kutawala na kuanzisha Dhiki Kuu)**

HOJA NYINGINE NI HIZI
• Wathesalonike 5:9 — "Kwa kuwa Mungu hakutuweka kwa ajili ya ghadhabu, bali tupate wokovu kwa Bwana wetu Yesu Kristo."

(Hoja: Dhiki Kuu ni kipindi cha ghadhabu ya Mungu kwa dunia iliyomkataa. Kwa kuwa Kanisa halikuwekewa ghadhabu, lazima liondolewe kabla ya dhiki hiyo).

• Ufunuo 3:10 — "Kwa kuwa umejilinda neno la subira yangu, mimi nami nitakulinda, utoke katika saa ya kujaribiwa inayokuja juu ya ulimwengu wote, kuwajaribu wakaao juu ya nchi."

(Hoja: Ahadi hii kwa kanisa la Filadelfia inatafsiriwa kama ulinzi wa KUNYAKULIWA KUTOKA kwenye ile "saa yenyewe" ya jaribio la dunia nzima).
2. Kizuizi Lazima Kiondolewe Kwanza (Kama ulivyotaja awali)

NAMNA UTAKAVYOKUWA NI HIVI
Luka 17:34-36
Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa katika kitanda kimoja; mmoja atatwaliwa, na wa pili ataachwa."
³⁵ "Wanawake wawili watakuwa wakisaga pamoja; mmoja atatwaliwa, na wa pili ataachwa."
³⁶ "[Wanaume wawili watakuwa shambani; mmoja atatwaliwa, na wa pili ataachwa.]"

WANAOSEMA UNYAKUO UTATOKEA BAADA YA DHIKI KUU NIMEJARIBU KUWAELEWA
Ni kwamba baada ya kunyakuliwa kanisa katika wale walio achwa nyuma bado kuna LAST CHANCE kuna NAFASI ya wao kutubu na kuacha dhambi,ambao nao watapata KUJIOKOA WENYEWE KWA KUVUMILIA MATESO MPAKA MWISHO sio KUJIOKOA wenyewe in such wataokolewa na YESU ila KWA kupitia kuvumilia MATESO makali sana ya DHIKI kuu kwa miaka mitatu kuna WATAKAOKUFA katikati ya DHIKI kuu watakaouawa nao WATAENDA PEPONI wakiwa wameshinda kwa kukataa kupokea CHAPA ya MNYAMA

Na Kuna watakaovumilia miaka 3 na 1/2
Ya mateso,ndio nao watanyakuliwa kwenda mbinguni.

Sawa na andiko
Mathayo 24:29-31 k
Lakini mara baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika [k].
³⁰ Ndipo itakapoonekana ishara ya Mwana wa Adamu mbinguni; na ndipo mataifa yote ya duniani watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi [k].
³¹ Naye atawatuma malaika zake wenye sauti kuu ya tarumbeta, nao watawakusanya wateule wake kutoka pepo nne, tangu mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu [k]."

Ni UNYAKUO WA aina mbili tofauti ambazo hazifanani ,ila zote zitatokea na zimeandikwa

UNYAKUO ULIKUWEPO HATA KATIKA BIBLICAL TIME,
Na tukio la nyakuo ni tukio ambalo halijaanza Leo wapo WATAKATIFU waliowahi kunyakuliwa HUKO nyuma kabla hata ya huu UNYAKUO tunao ungoja sasa hivi,mifani ni hii

• Enoki (Henoko): Andiko la Mwanzo 5:24 linasema, "Enoki akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, kwa sababu Mungu alimtwaa." Pia, Waebrania 11:5 inathibitisha kuwa alihamishwa asione mauti.

• Eliya: Katika 2 Wafalme 2:11, Eliya alitenganishwa na Elisha kwa gari la moto na farasi wa moto, na "Eliya akapanda mbinguni kwa upepo wa kisulisuli" akiwa hai.

na hata tone wale mashidi WAWILI nao watanyakuliwa
Kama ulivyotaja hapo awali, katika Ufunuo 11:12, baada ya kuuawa na kukaa siku tatu na nusu, Mungu atawafufua na sauti itawaambia "Pandeni hata huku." Wakapanda mbinguni katika wingu.

KUNA MATUKIO MAWILI YA UNYAKUO YATAKAYOTOKEA KABLA YA DHIKI KUU NA BAADA YA DHIKI KUU YOTE YATATOKEA HAKUNA CONTRADICTION
 
Binafsi siamini kama kuna unyakuo ndio maana nakuuliza ili ni link na kile ninachoamini nione kipi ni sahihi... ukipata mda utanitag mkuu

Mkuu IPI ni sababu iliyokufanya usiamini katika uwepo WA UNYAKUO ili hali katika biblia ELIYA na HENOKO walinyakuliwa na watu waliwashuhudia wakinyakuliwa mbele ya macho Yao.
 
mtumishi unaweza kunifafanuliwa kuhusu ujio wa pili wa yesu na unyakuo..

The second coming of Jesus Christ KURUDI KWA YESU MARA YA PILI.
Ni baada ya miaka elfu moja sasa baada ya UNYAKUO, wale WATAKAOKUFA katikati ya DHIKI kuu kwa kukatwa shingo za vichwa vyao wataungana na wale WALIONYAKULIWA kabla ya DHIKI kuu,na watakaovumilia miaka mitatu na NUSU ya DHIKI kuu nao wataungana na WATAKATIFU WALIOPO mbinguni watafanya karamu kwa kula na kunywa kwa muda WA miaka elfu moja ,baada ya miaka 1000 ndipo sasa Yesu atashuka na mawingu pamoja nao kuwahukumu sasa wale walioachwa DUNIANI wenye dhambi pamoja na waliokufa katika dhambi.

SAWA SAWA na maandiko.

Zekaria 14:4-5
(4) "Na siku hiyo miguu yake itasimama juu ya mlima wa Mizeituni, ulioelekea Yerusalemu upande wa mashariki, nao mlima wa Mizeituni utapasuka katikati yake, upande wa mashariki na upande wa magharibi, likawapo bonde kubwa sana; na nusu ya mlima ule utaondoka kwenda upande wa kaskazini, na nusu yake kwenda upande wa kusini."

[Zekaria 14:4]
(5) "Nanyi mtakimbia kwa njia ya bonde la milima yangu; kwa kuwa bonde lile la milima litafika hata Azeli; naam, mtakimbia kama mlivyokimbia mbele ya tetemeko la nchi, katika siku za Uzia, mfalme wa Yuda. Na Bwana, Mungu wangu, atakuja, na watakatifu wote pamoja naye."

[Zekaria 14:5]
Mambo Makuu 4 Yanayofunuliwa Katika Andiko Hili:
• Mahali Mahususi pa Ujio Wake: Tofauti na maeneo mengine yanayotaja "mawingu," Zekaria anataja eneo halisi la kijiografia duniani—Mlima wa Mizeituni uliopo mashariki mwa Yerusalemu [Zekaria 14:4]. Hapa ndipo mahali palepale Yesu alipoondokea kwenda mbinguni, na malaika wakatabiri kuwa "atarudi "vilevile*" (Matendo 1:11-12).
 
Back
Top Bottom