NEEMA tuliyonayo sasa ukomo wake ni siku UNYAKUO

a sinner saved by Christ
Katika kitabu cha wathessalonike paulo anasema hatutawatangulia walio lala mauti, maana watafufuliwa kwanza then wote wajoin kumlaki YESU,

Sasa wakati hawa wafu wanafufuliwa waovu hawatajua?
.....
 

TAIFA la ISRAELI LINA NEEMA YAKE SPECIAL tofauti na mataifa mengine.

Neema ITAKUJAGA kurudisha kwa tiafa la ISRAEL baadae ,nao Israel watamkiri kuwa Yesu ni BWANA na Masiah na YESU atakwenda moja kwa moja katika hekalu la tatu la mfalme Sulemani na kumuangamiza mpinga Kristo kwa pumzi ya kinywa chake.

Warumi 11. Analezea kuwa upofu wa sasa wa Israel ni wa muda tu, ili kuruhusu mataifa mengine (sisi) kupokea wokovu, lakini neema yao itarudi.
• Warumi 11:25-26 – "Kwa maana, ndugu zangu, sipendi msiijue siri hii... ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, hata utimilifu wa Mataifa uwasili. Hivyo Israeli wote wataokolewa; kama ilivyoandikwa, Mwokozi atatoka Sayuni..."
• Warumi 11:29 – "Kwa maana karama za Mungu hazina majuto, wala mwito wake." (Mungu hajaitupa Israel milele).
2. Kumkiri Yesu kama Bwana na Masihi (Kutubu kwa Kitaifa)
Nabii Zekaria alitabiri wakati halisi ambapo Israel, kama taifa, itafumbuliwa macho kumtambua Yesu (yule waliyemchoma msalabani) kuwa ndiye Masihi wao wa kweli. Tukio hili litaleta kilio kikubwa cha toba ya kitaifa.
• Zekaria 12:10 – "Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi... roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimchoma; nao watamlilia kama vile mtu amliliavyo mwanawe wa pekee..."
3. Kuondolewa kwa Mpinga Kristo Katika Hekalu la Tatu
Umesema kweli kuhusu uhusiano wa kutubu kwao na kuondolewa kwa Mpinga Kristo. Mpinga Kristo atafanya mkataba wa miaka 7 na Israel, lakini katikati ya miaka hiyo (baada ya miaka 3.5), atavunja mkataba, atalikufuru hekalu (Hekalu la Tatu litakalojengwa Yerusalemu), na kujitangaza yeye kuwa Mungu.
• 2 Wathesalonike 2:4 – "...hata yeye mwenyewe akaketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kwamba yeye ndiye Mungu."
• Danieli 9:27 & Mathayo 24:15 – Huku ndiko "chukizo la uharibifu" lililosemwa na nabii Danieli likisimama patakatifu.
Wakati Mpinga Kristo atakapogeuka na kuanza kuwatesa Wayahudi vikali (Kipindi cha Dhiki Kuu), ndipo macho yao yatakapofumbuka. Watagundua walidanganywa, na katika kilele cha mateso hayo—kwenye Vita vya Har-Magedoni—ndipo Yesu atakaposhuka juu ya Mlima wa Mizeituni (Zekaria 14) na kumwangamiza Mpinga Kristo kwa pumzi ya kinywa chake (2 Wathesalonike 2:8), na Israel itamkiri kuwa ndiye Mwokozi wao.
 
Hii NEEMA tuliyonayo ITAKUJAGA irudishwe kwa TAIFA la ISRAELI,

Yote katika yote Cha misingi ni Bora KUOKOKA umkiri Yesu sasa kuwa ni BWANA NA MWOKOZI WAKO,kiri kuwa WEWE ni mwenye dhambi,omba TOBA Yesu akusamehe dhambi ,omba Yesu akujaze Roho mtakatifu wake ,akusaidie na WEWE ukiri KUZIACHA dhambi,kwa utayari WAKO na bidii ya kuchukia dhambi kwa sababu ndiyo iliyoeta mauti na kumpeleka Yesu masalabani akafa KWA AJILI ya dhambi zetu,ila akafufuka siku ya tatu akashinda kifo na mauti,you hai Leo,wote wanaomkiri na KUMPOKEA kama mwakozi wao anawaponya mioyo Roho na miilo Yao na kuwapa nguvu ya Roho yake mtakatifu inayowaongoza,penda KUMPENDEZA Yesu kwa kuyatenda yanayompendeza Yesu,atakusaidia kuishi maisha MATAKATIFU hapa DUNIANI na kuomba ,na uhakika WA maisha ya uzima WA MILELE .
 
a sinner saved by Christ
Katika kitabu cha wathessalonike paulo anasema hatutawatangulia walio lala mauti, maana watafufuliwa kwanza then wote wajoin kumlaki YESU,

Sasa wakati hawa wafu wanafufuliwa waovu hawatajua?
.....

Ufunuo 1:7: "Tazama, anakuja na mawingu; na kila jicho litamwona, na wale waliomchoma; na kabila zote za dunia watamlilia kwa huzuni."

Ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba."
Wafilipi 2:10-11 (na pia Isaya 45:23):

Waovu walioko DUNIANI watamwaona.

Atatawala miaka 1000
Baada ya Yesu kurudi na Shetani kufungwa, ndipo ile miaka 1000 inapoanza:
• Yesu atatawala pamoja na watakatifu wake waliofufuliwa na wale walionyakulwa (Ufunuo 20:4).

• Katika kipindi hiki chote cha miaka 1000, waovu waliokufa wanabaki makaburini—hawafufuliwi hadi miaka hiyo iishe (Ufunuo 20:5).
Japo kwa USHUHUDA WA walioenda kuzimu waovu waliokufa katika dhambi ROHO ZAO ZIPO KUZIMU zikiteswa zikisubiri JEHANAMU SIKU YA HUKUMU.
Japo miili Yao imelala makaburini ila Roho ZAO zinateseka kuzimu SAWA SAWA na LUKA ,ABRAHAM bosom lazara na MASIKINI.

Zikisubiri siku ya hukumu JUDGEMENT DAY...ilizitupwe JEHANAMU YA MOTO PAMOJA NA MAPEPO
 
Ujumbe ambao Nina uhakika nao ni kwamba UNYAKUO NUMEKARIBIA SANA..kwa sababu ya ujumbe na maono ambayo Yesu anawatokea hata watoto wangu mara KWA mara anawambia MESEJI hiyo hiyo moja ,tubuni dhambi,Nina kuja kuwachukua ,na wanaota wanapaaa mbinguni na YESU na kwa saikolojia watoto wangu wadogo WA shule ya msingi hawawezi kudanganya,lakini ukiacha Hawa watoto,pia zipo shuhuda nyingi za watu mbalimbali wamepokea maono na ujumbe unafanana,kuwa UNYAKUO UMEKARIBIA WAJIANDAE ANAKUJA KUWANYAKUA WENGI SANA.

lakini hayo mengine ya baada ya UNYAKUO itakuwaje ,miaka 1000 ya utawala WA Yesu na mengine ,haya sijapokea mafunuo yake ,nitayafahamu wakati utakapofika nitayafahamu vizuri...ila KWA sasa UJUMBE WA DHARURA kwa wanadamu ,ni kwamba YESU YUPO KARIBU KUJA KUCHUKUA KANISA LAKE...mengine tutayajua zaidi.
 
Thibitisha Mungu yupo kweli na kwamba hizi zote si longolongo za kutungwa na watu tu.
 
Umeandika Uzi mrefu ambao ndani yake umechanganya sana madesa umejaza mawazo Yako hakuna msingi wa kibiblia
Msabato huyu. Msingi wao mmojawapo ni maandiko ya Roho ya Unabii yaliyoandikwa na mama mmoja Mmarekani mwanzilishi wa Usabato aliyeitwa Ellen G. White. Hizi porojo zinatoka katika maandiko yake.
 
MUNGU yupo kwasababu ameshajithibitisha kupitia matendo yake makuu...
Hii ni kauli ya imani tu, imani unaweza kuitolea kauli hata kama ni imani ya uongo.

Mfano, mimi naweza kusema Mungu yupo na mimi hapa ndiye Mungu mwenyewe niliyeumba ulimwengu. Lakini je, kauli hii inanifanya mimi kuwa Mungu niliyeumba ulimwengu? Hainifanyi.

Kwa hiyo, hata kama Mungu hayupo, unaweza kusema yupo kama ulivyosema wewe hapo.

Lakini, kusema yupo si uthibitisho kwamba yupo.

Thibitisha Mungu yupo, usitoe kauli ya imani tu kwamba yupo.
 
Mkuu .....au basi......
 
Thibitisha Mungu yupo kweli na kwamba hizi zote si longolongo za kutungwa na watu tu.

Kila kitu kilichopo ni uthibitisho kuwa Mungu yupo chochote unachokiona katika ulimwengu WA macho physical ni kazi za mikono ya Mungu,hata watu wabaya hata na shetani mwenyewe,ulimwengu na vyote viujazavyo ni mali ya Mungu.

Mimi hata nikiona sisimizi namtukuza Mungu,hata shetani akiletaajaribu hata wachawi na mapepo,vyote vinanikumbusha kumtukuza Mungu na kumuogopa.

AMEFANYA VYOTE HATA WABAYA KWA SIKU YA UBAYA.

Kama una amini katika ulimwengu unao onekana physically basi hivyo vyote ni USHUHUDA WA kazi za Mungu,..YESU aliyetembea JUU YA MAJI aka defy laws of physics..

Aliyekufa na KUFUFUKA ,akapaa mbinguni huku watu wakimtazama huyu mwamba YESU.

aliyefufua wafu,kuponya vipofu,viziwi,vilema.

aliyelisha watu 5000 kwa vipande vya SAMAKI 2 na MIKATE 5.

Yesu aliyeniokoa kutoka kuwa mganga WA kienyeji,kutoka ulevi,kutoka uzinzi na kunibadilisha ,YESU aliyenitumia malaika zake WAWILI wakaniokoa nimeshawahi kuwaona malaika 2 waliniokoa na ajali.

Muumbaji wangu,nakataa sayansi inayoniambia Mimi nimetokana na NYANI ,Mimi nimeumbwa na Mungu sijatokana na NYANI.
Wanaoamini sayansi wao waendeleee..wanao amini mizimu,mizimu ni majini ya ukooo ambayo tuliyaachana nayo matambiko baada ya KUOKOKA miziyuenyewe likitajwa jina la Yesu majini yanaungua mashetwani yanatetemeka ,kuzimu inatetemeka.

Mashetwani yenyewe Yana amini katika Mungu,mashetwani yakisikia mwanadamu haaminin katika Mungu yenyewe TU yanamshangaa.

Yakobo 2:19, ambapo andiko linasema: “Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Hata mashetani waamini na kutetemeka

Mwanadamu ni nani basi hata asimuamini MUNGU MKUU MUUMBAJI WA ULIMWENGU,hata serikali yenyewe Haina dini lakini Ina amini kuwa Mungu yupo ,ndio MAANA wimbi WA TAIFA unaimba MUNGU IBARIKI AFRIKA ,MUNGU IBARIKI TANZANIA.


Kama unafanya makusudi kukufuru kukataa uwepo WA Mungu historia inaonyesha wote waliomkufuru Mungu KWA kusema Mungu hayupo au hawamuhitaji yaliwakuta ,ila nakuombea Mungu akusaidie kama unataka kufahamu habari za Mungu tafuta ,ukimtafuta Mungu KWA Nia ya kumjua utamuona ,madamu anapatikana.
 
Msabato huyu. Msingi wao mmojawapo ni maandiko ya Roho ya Unabii yaliyoandikwa na mama mmoja Mmarekani mwanzilishi wa Usabato aliyeitwa Ellen G. White. Hizi porojo zinatoka katika maandiko yake.

Napenda kujifunza NENO la MUNGU kutoka KWAKO,Mimi sifahamu yote NENO la MUNGU ni pana ni library collections of books,letters,n.k

Karibu kwa ufafanuzi nilipokosea nisahishe napenda kujifunza NENO la MUNGU KWA furaha,karibu MTU WA Mungu KWA maoni Yako.
 
M
Msabato huyu. Msingi wao mmojawapo ni maandiko ya Roho ya Unabii yaliyoandikwa na mama mmoja Mmarekani mwanzilishi wa Usabato aliyeitwa Ellen G. White. Hizi porojo zinatoka katika maandiko yake.
Sio kweli na ninapinga mafundisho Yao mengi tu na Wala simuamini huyo mama Wala chochote kilicho nje ya Biblia kwahyo usibashiri usiyoyajua
 

Unasema kila kitu kilichopo kinathibigisha Mungu yupo.

Kila kitu kilichopo kinathibitishaje Mungu yupo?

Hii kauli "kila kitu kilichopo kinathibitisha Mungu yupo" nayo bado ni kauli ya imani, si uthibitisho.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Unachanganya imani yako na uthibitisho.

Unalazimisha imani yako kuwa ni uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo, usitoe kauli ya imani na kusema huo ni uthibitisho kuwa Mungu yupo.
 
Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu
 

Ushahidi wa Kisayansi
Sayansi kupitia nadharia ya Big Bang na fizikia (PHYSICS) ya kisasa inaonyesha kuwa ulimwengu ulikuwa na mwanzo. (Time ,space and matter)Wakati, nafasi, na maada havikuwepo kabla ya hapo, bali vilianza kwa pamoja kwa wakati mmoja.


Sheria ya Sababu (Law of Causality): Kila kilichopata mwanzo kinasababishwa na kitu kingine. Ulimwengu ukiwa na mwanzo wa kuwepo kwake, unahitaji chanzo ambacho kiko nje ya ulimwengu huo

Kuhusu Sifa za Chanzo Hicho (Mungu)
Kama mtengenezaji au chanzo cha hivi vitu kiliweka au kuumba space, time, na matter, basi chanzo hicho lazima kiwe na sifa zifuatazo:
1)Bila Muda (Timeless/Eternal): Hakuna kikomo cha muda; kipo nje ya muda ulioumbwa ili kiweze kuumba muda wenyewe.

2)Bila Nafasi (Spaceless/Omnipresent): Hakitawaliwi wala hakifungiwi na nafasi (dimensions), bali kiko nje ya nafasi.

3)** Bila Maada (Immaterial/Spirit)**: Hakina asili ya maada au nishati ya kimwili ya ulimwengu huu, bali kina uwezo mkuu unaovuka maada.
Mtazamo huu unafanana na maelezo ya
kitabu cha

Mwanzo 1:1 ("Hapo mwanzo Mungu alizifanya mbingu na nchi"), ambapo "hapo mwanzo" kunawakilisha muda, "mbingu" zinawakilisha nafasi, na "nchi" inawakilisha maada.
 
Ushahidi wa Kisayansi
Sayansi kupitia nadharia ya Big Bang na fizikia (PHYSICS) ya kisasa inaonyesha kuwa ulimwengu ulikuwa na mwanzo. (Time ,space and matter)Wakati, nafasi, na maada havikuwepo kabla ya hapo, bali vilianza kwa pamoja kwa wakati mmoja.


Sheria ya Sababu (Law of Causality): Kila kilichopata mwanzo kinasababishwa na kitu kingine. Ulimwengu ukiwa na mwanzo wa kuwepo kwake, unahitaji chanzo ambacho kiko nje ya ulimwengu huo

Kuhusu Sifa za Chanzo Hicho (Mungu)
Kama mtengenezaji au chanzo cha hivi vitu kiliweka au kuumba space, time, na matter, basi chanzo hicho lazima kiwe na sifa zifuatazo:
1)Bila Muda (Timeless/Eternal): Hakuna kikomo cha muda; kipo nje ya muda ulioumbwa ili kiweze kuumba muda wenyewe.

2)Bila Nafasi (Spaceless/Omnipresent): Hakitawaliwi wala hakifungiwi na nafasi (dimensions), bali kiko nje ya nafasi.

3)Bila Maada (Immaterial/Spirit): Hakina asili ya maada au nishati ya kimwili ya ulimwengu huu, bali kina uwezo mkuu unaovuka maada.
Mtazamo huu unafanana na maelezo ya
kitabu cha

Mwanzo 1:1 ("Hapo mwanzo Mungu alizifanya mbingu na nchi"), ambapo "hapo mwanzo" kunawakilisha muda, "mbingu" zinawakilisha nafasi, na "nchi" inawakilisha maada.
 
Tukianza point yako ya kwanza tu, ushahidi kwamba ulimwengu ulikuwa na chanzo hauthibitishi uliumbwa na Mungu.

Hii ni logical non sequitur fallacy. Ushahidi kwamba wewe una Mama hauthibitishi kwamba Mama yako ni Maria Nyerere.

Kwa hiyo, hii sababu ya kwanza naomba tuitie tuendelee na nyingine.

Zaidi, mtu aliyekuwa mmoja wa wagunduzi wakubwa wa hiyo Big Bang Theory, Georges Lemaitres, ambaye alikuwa kasisi wa Kibelgiji wa Kanisa la Katoliki, alipokutana na Papa Pius XII na kumuelezea hili jambo, Papa alifurahi sana akitaka kutumia nadharia ya Big Bang kama uthibitisho Mungu yupo, lakini Georges Lemaitre alimkataza Papa kufanya hivyo.

Soma muhtasari wa habari hii hapa.

Muhtasari.

Question: What did Georges Lemaitre say to the Pope when the Pope wanted to use the Big Bang Theory as proof of the existence of God?

Answer from Meta AI: It's one of the most interesting priest-to-Pope corrections in history.

In 1951 Pope Pius XII was thrilled by Lemaître's primeval atom theory - what we now call the Big Bang.

In his address Un'Ora to the Pontifical Academy of Sciences, where Lemaître himself was present as president of the Academy, the Pope declared that science had found proof of Genesis:


Lemaître was distressed by this. He believed in what later writers called the separation of church and lab - that a cosmological theory that is always hypothetical and provisional can never be used as a proof nor as a refutation of an article of faith. d1ac

He went to the Vatican and privately convinced Pius XII to stop. And he said publicly:

"As far as I see, such a theory remains entirely outside any metaphysical or religious question. It leaves the materialist free to deny any transcendental Being," 3d7c

He elaborated in 1958:

"For the believer, it removes any attempt to familiarity with God... It is consonant with Isaiah speaking of the Hidden God, hidden in the beginning." c92c

His argument was simple: Don't make God a scientific hypothesis. If you tie God to the Big Bang, what happens if the science changes? Lemaître told colleagues he would continue believing in God even if the theory turned out to be wrong. 939a7e4d

Pius listened. After 1951, he never again used the Big Bang publicly as a proof of God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…