Neema zaidi kwa watanzania-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero

Nasikia gesi yetu haiendi dar mkuu inaenda Dodoma kupitia mwanza mpaka Rwanda.

Wakitaka kuupoteza Mkoa wa Morogoro kiurahisi mwaka 2015 basi watufanyie waliowafanyia Wananchi wa Mtwara.Mtwara washaupoteza soon wataupoteza na Mkoa wa Morogoro pia.
 
Yani kila sehemu ya Tanzania ni utajiri tu! Lakini bila ccm kuondoka madarakani hayo yote ni kazi bure!!
Rais mkombozi wa Tanzania hajazaliwa, chama cha ukomobzi hakipo. Uadilifu kama wa CDM hauna tofauti hata kidogo na CCM. Kama CDM inashindwa ku-account for 9 billion za ruzuku fedha za walipa kodi, tutegemee nini iwapo hazina yote itakuwa mikononi mwao. Ni hatari tupu. Wengi wa vyama vya upinzani ni makapi ya CCM. Hawana jipya.
 
Mali za taifa hili popote zilipo ni mali za watanzania wote.
Sio kweli! Zilizoko chini ya ardhi sio za Watanzania wote bali ni za wawekezaji pamoja na waliosimamia uwekaji wa mikataba mibovu! Ni moja ya chanzo cha vijisenti vilivyofichwa Uswiss! Nieleze kuwa mkataba wa gesi ya Mtwara unasemaje kama hiyo gesi ni mali yako wewe Mtanzania! Hata mbunge wako hafahamu!!
 
Hii gesi haitatoka hapa Morogoro.Dar gesi ya Mtwara inawatosha,Hii itatumika hapa hapa Morogoro.

Wewe ni wa Mtwara sasa Morogoro inakuhusuje? Au wewe kila penye gesi ndo kwenu.
 
Wakitaka kuupoteza Mkoa wa Morogoro kiurahisi mwaka 2015 basi watufanyie waliowafanyia Wananchi wa Mtwara.Mtwara washaupoteza soon wataupoteza na Mkoa wa Morogoro pia.

Hapo umenena mkuu hapo watavuna walichopanda.
 

Hata wawe Makapi tutawapa haohao, tumechoka na CCM. Chakula cha aina oja miaka zaidi ya 50 ?!!? Tumechokaaaaaa...
 
Moro siku izi ni waelewa mno, magamba wajidai kuleta ushenzi waone hasira za waluguru na wapogoro
 
Wewe ni wa Mtwara sasa Morogoro inakuhusuje? Au wewe kila penye gesi ndo kwenu.

Ah wapi!Mimi na Ntwara wapi na wapi?Mimi Moro Town,Nimezaliwa huku nimesoma huku japo elimu ya juu nilivuka mipaka ya Nchi kwenda kujifunza tamaduni,desturi,mila za watu Mataifa mengine.Kwahiyo ndio hivyo ndugu yangu gesi inanihusu mno na inaweza kutuletea faida kubwa Morogoro in terms of Industrialization and enterprises as a whole to offset unemployment problem here.
 
[h=2]Re: Neema zaidi kwa watanzania-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero.[/h]Hapo pa nyekundu ningekubaliana na wewe kama ungeandika hivi:-
[h=2]Re: Neema zaidi kwa wanaCCM,koo na washikaji zao-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero.[/h] AU
[h=2]Re: Neema zaidi kwa watanzania baada ya 2015-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero.[/h]Ila bado una nafasi ya kurekebisha typographic errors ..nina imani na wewe kwani muda bado upo.
 
Swala energy co!?????


What the big Shame... Kampuni imesajiliwa wapi!?? Haaaa haaaa...
 

As much as i like Late Nyerere but i hate to admit that i dislike some of his legacy he left behind.This Constitution he participated to create was a grave he made for Tanzanians.In short Nyerere was the chief architect of the disasters We Tanzanians find ourselves in today.That's the fact.
 

To cheer?!! Mmmh not sure my friend!
 

He!!! akili yako inatia shaka. Dhahabu ya nchi hii inatosha kutujengea barabara bila kukopa, kulipa madeni ya waalimu, una fikiria kusema cdm utadilisha ukweli. Gesi bila mafisadi kuondoka hakuna faida, ccm siyo wazalendo. Ipo siku yenu huwezi kutawala kwa kuwaibia unaowatawala siku zote. Sasa katiba nayo mnanjunganjunga mnafikiri mtakuwa watawala milele pindisheni ukweli hapo mbele mkikosa njia msiulize ulize aibu yenu leo mnaona fahari yenu.
 
WATANZANIA NA AKILI ZAO NA KWA HALI WALIZONAZO UMASIKINI ULIOTAPAKAA "HAWAUCHOKI HUU UKOO WA PANYA NA VIZAZI VYAKE IT MAY BE ANAYESAPOTI HUU UKOO KWA VYOVYOTE NAE NI PANYA AU ANA MASILAHI NA PANYA HAWA WASIO NA HAYA WAMEPEKECHA KILA KITU MAANDAKI TUNAYO TELE LAKINI BADO TU DUNI YARAAB EWE MOLA WETU WAFUMBUE WAJA WAKO WAYAONE MAMBO KWA UZIRI UWAJALIE FAHMU
NA HIKMA NDANI YA AKILI ZAO WAWEZE KUTABAYARISHA YALIYO MEMA NA MABAYA, ameen!
 
Ni furaha kusikia hilo ila matumaini ya kuboreka maisha ya mtanzania ni ndoto. Jinsi usanii ulivyotawala tusitegemee kushuka kwa bei ya nishati nchini coz tutaambiwa gharama za uzalishaji ni kubwa na kuishia kupata kodi ya asilimia 3 kama ilivyo kwenye madini. We need to change the system to enjoy our resource. R.I.P gold and dimond and welcome oil
 
Remember, we didn't have the capacity to explore ourselves and we do not have the capacity to produce ourselves. What do you expect? those who explore and those who will produce will do it for free?

I hate this line of thinking. With this kind of mentality we better stop and do something else. More intelligent Tanzanians will do it for the Nation and the next generation.
 
I hate this line of thinking. With this kind of mentality we better stop and do something else. More intelligent Tanzanians will do it for the Nation and the next generation.

What can you do? what will your next generation do if you have nothing to prepare them for.

Like it or not, it will take you at least 200 years from now for you to be where the others are now. Where will those who are here now be in 200 years? taping into other energies while you remain with your useless gasses. Think.

 

The only way that our beloved goverment will ensure Tanzanians benefits is to capture value accross the entire value chain
 
Hiyo ni neema kwa viongoz wa sirikal kuwaongezea ulaji na sio wananch madin km dhahab tanzanit yabakaribia kuisha tangu yagunduliwe na kuanza kuchimbwa sabab kuna mianya mingi ya rushwa na viongozi kubebana kwa ufisadi hakuna jipya hap zaid kuleta shida kwa wananch
 

It seems you are mentally not fit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…