Nasikia gesi yetu haiendi dar mkuu inaenda Dodoma kupitia mwanza mpaka Rwanda.
Wakitaka kuupoteza Mkoa wa Morogoro kiurahisi mwaka 2015 basi watufanyie waliowafanyia Wananchi wa Mtwara.Mtwara washaupoteza soon wataupoteza na Mkoa wa Morogoro pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia gesi yetu haiendi dar mkuu inaenda Dodoma kupitia mwanza mpaka Rwanda.
Rais mkombozi wa Tanzania hajazaliwa, chama cha ukomobzi hakipo. Uadilifu kama wa CDM hauna tofauti hata kidogo na CCM. Kama CDM inashindwa ku-account for 9 billion za ruzuku fedha za walipa kodi, tutegemee nini iwapo hazina yote itakuwa mikononi mwao. Ni hatari tupu. Wengi wa vyama vya upinzani ni makapi ya CCM. Hawana jipya.Yani kila sehemu ya Tanzania ni utajiri tu! Lakini bila ccm kuondoka madarakani hayo yote ni kazi bure!!
Sio kweli! Zilizoko chini ya ardhi sio za Watanzania wote bali ni za wawekezaji pamoja na waliosimamia uwekaji wa mikataba mibovu! Ni moja ya chanzo cha vijisenti vilivyofichwa Uswiss! Nieleze kuwa mkataba wa gesi ya Mtwara unasemaje kama hiyo gesi ni mali yako wewe Mtanzania! Hata mbunge wako hafahamu!!Mali za taifa hili popote zilipo ni mali za watanzania wote.
Hii gesi haitatoka hapa Morogoro.Dar gesi ya Mtwara inawatosha,Hii itatumika hapa hapa Morogoro.
Wakitaka kuupoteza Mkoa wa Morogoro kiurahisi mwaka 2015 basi watufanyie waliowafanyia Wananchi wa Mtwara.Mtwara washaupoteza soon wataupoteza na Mkoa wa Morogoro pia.
Rais mkombozi wa Tanzania hajazaliwa, chama cha ukomobzi hakipo. Uadilifu kama wa CDM hauna tofauti hata kidogo na CCM. Kama CDM inashindwa ku-account for 9 billion za ruzuku fedha za walipa kodi, tutegemee nini iwapo hazina yote itakuwa mikononi mwao. Ni hatari tupu. Wengi wa vyama vya upinzani ni makapi ya CCM. Hawana jipya.
Wewe ni wa Mtwara sasa Morogoro inakuhusuje? Au wewe kila penye gesi ndo kwenu.
[h=2]Re: Neema zaidi kwa watanzania-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero.[/h]Hapo pa nyekundu ningekubaliana na wewe kama ungeandika hivi:-
[h=2]Re: Neema zaidi kwa wanaCCM,koo na washikaji zao-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero.[/h] AU
[h=2]Re: Neema zaidi kwa watanzania baada ya 2015-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero.[/h]Ila bado una nafasi ya kurekebisha typographic errors ..nina imani na wewe kwani muda bado upo.
it sound like good news but I'm less optimistic based on previous experience. Ever since i was born Williamson diamond has been taking diamond from Mwadui, but the wellbeing of dwellers around the mines are indisputably desperate, the same applies to Barick gold mines, Buzwagi just to mention the few.
This experience is not confined in Tanzania, in Nigeria People of the Niger delta where the large deposit of oil is found are experiencing the hardship from environmental degradation to extreme poverty.
Could you tell us the different approach your govt is going to put in place so that we can start at least to cheer?
Tatizo lenu bavicha mmemezeshwa na akili zenu haziwezi kufanya uchambuzi hata kidogo.
Nchi hii imeendelea kuachana na utegemezi na inajinasua kutoka katika lindi la umasikini kwa maarifa na juhudi za CCM. Leo kila sehemu kuna shule ya kata na kila mkoa ni lami tupu..watu wanawatengenezea barabara mpate maendeleo bavicha mnawaambia waandamane kuna lami hawatapa vumbi na mafua. Akili za nzi kabisa..
Remember, we didn't have the capacity to explore ourselves and we do not have the capacity to produce ourselves. What do you expect? those who explore and those who will produce will do it for free?
I hate this line of thinking. With this kind of mentality we better stop and do something else. More intelligent Tanzanians will do it for the Nation and the next generation.
Hydrogen - One of Many Fuel Alternatives
As we look for fuel alternatives to save gas, there is one source of energy that is all around us, even if we don't recognize it. Hydrogen Power, the power from the element Hydrogen is the energy of the future. We need to unlock its potential in order to see the possibilities. All that takes is a national commitment to make the long term switch from an oil based economy to a hydrogen based one. All that would take is a national consensus that the time has come to save gas and develop the best fuel alternatives.
Source: Hydrogen Power is the Future | Save Gas
it sound like good news but I'm less optimistic based on previous experience. Ever since i was born Williamson diamond has been taking diamond from Mwadui, but the wellbeing of dwellers around the mines are indisputably desperate, the same applies to Barick gold mines, Buzwagi just to mention the few.
This experience is not confined in Tanzania, in Nigeria People of the Niger delta where the large deposit of oil is found are experiencing the hardship from environmental degradation to extreme poverty.
Could you tell us the different approach your govt is going to put in place so that we can start at least to cheer?
As much as i like Late Nyerere but i hate to admit that i dislike some of his legacy he left behind.This Constitution he participated to create was a grave he made for Tanzanians.In short Nyerere was the chief architect of the disasters We Tanzanians find ourselves in today.That's the fact.