Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
#PIA NI NGUMU SANA KUELEWESHA JAMAA ZA MAFISADI UKOO WA PANYA WAKAKUELEWA THEY MUST FEEL AS YOU WANT TO CUT AND RISK UTAMU WALIOKWISHA UZOEA UTAMU WA MILELE UTAMU HADI KWA WAJUKUU NA ViTUKUUNi vigumu sana kumuelimisha mtu ambae anatumia viroba kuongea
Nina hakika imani yako ya kidini inakusuta unapotokwa povu kutetea wizi na dhulma.
mkuu , hizo ni neema kwa wachina , kwa watanzania hilo ni balaa kubwa mno ! We subiri ujionee .
Unufaike hata kuchimbwa hiyo haijaanza? ndio kwanza tupo kwenye exploration stages. Hivi huwa tunafikiri nini sisi? unakwenda na jembe unachimba kiazi unakula?
Tazama Songosongo viji gas kidogo tu tunavyo nufaika, hivi mpo dunia ipi nyinyi?
mkuu , hizo ni neema kwa wachina , kwa watanzania hilo ni balaa kubwa mno ! We subiri ujionee .
If you think i am crazy for pointing out some political blunders Late Nyerere made then it's okey with me but did you ever ask yourself why are we creating a new constitution now?What's wrong with the existing Constitution?Why people in the areas with plent of valuable resources are so poor,In Mara,Shinyanga,etc?Why did people of Mtwara take to the streets to protest the transportation of gas to Dar es salaam?The root-course here is Constitution which gave all the power and authorities over resources,political and administrative authorities to the Central Government leaving the local governments with very little to benefit from.The question now comes...Who to blame for this flawed Constitution?
Hear they hear not, see they see not.
You are 100% right.
Thanks a lot FaizaFox for seeing the truth in my comment that some people didn't,To be honest,Things like protests in Mtwara & Extreme poverty in some Regions like Mara & Shinyanga where Diamond & Gold Minings are found are the manifestations of the flawed Constitution inwhich Nyerere and co are the founders.
Thanks a lot FaizaFox for seeing the truth in my comment that some people didn't,To be honest,Things like protests in Mtwara & Extreme poverty in some Regions like Mara & Shinyanga where Diamond & Gold Minings are found are the manifestations of the flawed Constitution inwhich Nyerere and co are the founders.
bla bla bla bla bla bla bla bla.
You have a totally backward way of thinking, no wonder for 44 continues Years this country was totally stagnant. Its people like you who followed the nightmares of a lunatic who fooled you all into thinking those are prophetic visions and leave you all in misery and damned poor to your under-wears.
Its so pathetic to think of sharing nothing with those who have nothing. What do you have to share? how can you share a pie you do not even know how to cook it?
Remember, the first piece of pie is tasted by those who cook it. And you know who those chefs and cooks are? its those who possess the knowledge, the capital and the expertise.
You either let them cook the pie and have a test in the kitchen and you seat and wait for the cooks to bring you a piece of pie or you especially you, just hear the story of a pie and watch it on your telly.
The current constitution has nothing to do with the prevailing poverty in Tanzania rather it is simple minded person like yourself keep on blaming the goverment .As a Tanzania you should first ask youself what have I done to my country ? Do you think new constitution will be panacea to the prevailing extreme poverty ?
Faizafoxy,
When i said you should look at life like there is big pie to share i meant that you will benefit more when its done right than getting peanut from corrupt government officials who are selling out the country. It can only be done right if the contracts are open, there is a good government policy on how to exploit the resources and no corrupt government. But what i see now is just chukua chako mapema.
Na soon nchi hii itakuwa uwanja wa vita wa mataifa makubwa....kuna mtu alinambia hata hili la Mtwara lina harufu ya conflict kati ya nchi tajiri duniani...yangu macho...Na hivi viongozi wetu hawajuhi kuchagua wanataka kula huku na huku tusubir majanga...tutakung'utana wenyewe kwa wenyewe (kwa uchochezi ambao hatutakaa tuubaini kirahisi)...mnadhani hao viongozi wa nchi kubwa wanakuja tutembelea daily kwa kuwa 'tuna democracy kuliko nchi nyingine Africa'. Do they real care ...no free lunch ndio msemo wao
Greatful,if you could provide a correlation bween constitution and poverty by citing specic examples rather than insisting on unfounded claims BossWell then you must be very naive if you think the Constitution has nothing to do with our lives.Your ignorance scare the hell out of me,really!!Now i know why many of you CCM lemmings are supporting that stupidity some of the Party's old guards are pushing into the new Constitution.Many of you guys are uninformed about the government structures/systems and its functions.You really need to educate yourself about political science then you can come back and have a healthy debate over Constitution thing with me.I am well ahead of you on this kinda stuff by kilometers.
Kuliwa kwako maumivu kwa wengine.Huo wizi uko wapi? unaujuwa wizi wewe? Uibiwe nini wewe? hakuna ujinga kama kuwa na uchumi halafu unaukalia. Na kama hutaki kula basi kaa usiliwe, ukitaka kula ni lazima uliwe.
Miaka hii michache ya nyuma uchumi umefunguliwa tunaona matokeo, hata wale ambao walikuwa wanaona kuwa na gari ni anasa leo hii wana magari na imekuwa ni necessary na si luxury tena kama mlivyoaminishwa hapo kale. Hayo ndio manufaa ya kufunguka uchumi.
Unamaanisha kile kibatari cha magamba wanachofanyia mkesha na kusababisha ngono zembe zinazoleta mimba zisizo tarajiwa?Nakuunga mkono,
Gesi ibaki ili muwashie vibatari vyenu
Greatful,if you could provide a correlation bween constitution and poverty by citing specic examples rather than insisting on unfounded claims Boss