Neema zaidi kwa watanzania-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero

Neema zaidi kwa watanzania-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero

mkuu , hizo ni neema kwa wachina , kwa watanzania hilo ni balaa kubwa mno ! We subiri ujionee .

Hakuna nchi iloendelea bila kushirikiana na nchi nyingine. Bahati mbaya mazuzu wa chadema wamekaririshwa vibaya kuhusu china na akili zao zimeganda hapo hapo...
 
Hakuna nchi iloendelea bila kushirikiana na nchi nyingine. Bahati mbaya mazuzu wa chadema wamekaririshwa vibaya kuhusu china na akili zao zimeganda hapo hapo...
#KWA KUITA CDM MAZUZU UMEMTUKANA MPAKA MWL JKN hakutaka ujinga ufanyike SERA ZA CDM ZINASEMA ATLEAST KUWE NA HALI YA KUGAWANA 50/50 SIO KUACHIWA MAANDAKI YENYE MBU WENGi
 
Yani kila sehemu ya Tanzania ni utajiri tu! Lakini bila ccm kuondoka madarakani hayo yote ni kazi bure!!

Umemaliza yote mkuu, yaani ugunduzi wa hazina hizi ni balaa kama zitavunwa hawa vibaka CCM wakiwa madarakani. Utajiri wa dhahabu pekee ungetumika kwa busara ungeshaitoa nchi hii toka kwenye orodha ya masikini wa kutupwa, lakini kwa vile bado tuko chini ya wakoloni hawa hakuna la maana tuliloambulia zaidi ya mashimo na milima ya mchanga.
CCM ni janga la taifa!
 
Tatizo lenu bavicha mmemezeshwa na akili zenu haziwezi kufanya uchambuzi hata kidogo.
Nchi hii imeendelea kuachana na utegemezi na inajinasua kutoka katika lindi la umasikini kwa maarifa na juhudi za CCM. Leo kila sehemu kuna shule ya kata na kila mkoa ni lami tupu..watu wanawatengenezea barabara mpate maendeleo bavicha mnawaambia waandamane kuna lami hawatapa vumbi na mafua. Akili za nzi kabisa..



Inapiga hatua za kujitegemea kivipi wakati ccm inakopa kila uchwao kiasi kwamba deni la taifa haliwez hata kutamkwa kutokana na urefu wa tarakimu zake?
 
SWALA Energy Limited has reported preliminary positive results of 2D seismic programme over the Kidatu basin area in the Morogoro Region.

The oil and gas company said in a statement that the 2D seismic programme over the area has been completed and the preliminary interpretation of the results is positive.

“The results from the Kidatu survey have shown the potential for large structural traps, an encouraging result and one that underscores our team’s geological understanding of the area,” Dr David Mestres Ridge, the Chief Executive Officer of Swala Energy Limited said in the statement.

“Whilst additional processing and interpretation of the recorded data is still needed, the positive results to date give us growing confidence in our continued exploration activities within the Kilosa-Kilombero Licence,” he added.

These results follow those observed from the programme in the Kilosa basin to the north that was also positive as announced on 18th September, 2013.

The seismic survey has now commenced over the Kilombero basin, south of the Kidatu basin. Swala has an indirect 32.5 per cent interest in the licence.

A total of 143km of 2D seismic were acquired over the Kidatu basin. The initial results based on preliminary processed data indicate the presence of large scale structure along the edges of the basin together with a major intra-basin high identified on dip and strike lines. The structure may be as large as 30 to 60 square kilometres.
Mkuu Tanzania kila kona ni utajili hata huku kwetu Kyela Matema maeneo ya ziwani na milima ya Living stone ni full mafuta shida ni jinsi gani watanzania tutafaidika na hiyo gesi na mafuta bila kuyondoa maccm? vinginevyo tuhesabu kuwa maccm yatazidi kuchekelea na wachina watazidi kucheka pia ila sisi tuhesabu maumivu. ccm ni janga la Taifa.
 
Neema kwa Watanzania au kwa mabeberu Marekani, China and the likes? Ngoja hiyo ya mtwara iletwe Dar kwa bomba uone kama bei ya gesi ya nyumbani au bei ya unit ya tanesco kama vitapungua. Au kama bei za bidhaa ambazo zinatengenezwa kutumia gesi kama zitapungua. Mfano kwa sasa TBL na wengine nisiowajua wanatumia gesi ya songosongo lakini bei ya bia inapanda kila mwaka. Think again kabla ya kutuletea neema ya maneno matupu.
 
it sound like good news but I'm less optimistic based on previous experience. Ever since i was born Williamson diamond has been taking diamond from Mwadui, but the wellbeing of dwellers around the mines are indisputably desperate, the same applies to Barick gold mines, Buzwagi just to mention the few.

This experience is not confined in Tanzania, in Nigeria People of the Niger delta where the large deposit of oil is found are experiencing the hardship from environmental degradation to extreme poverty.

Could you tell us the different approach your govt is going to put in place so that we can start at least to cheer?

Remember, we didn't have the capacity to explore ourselves and we do not have the capacity to produce ourselves. What do you expect? those who explore and those who will produce will do it for free?
 
Yaani ni afadhali hiyo kitu isingegundulika mapema maana ni maafa kwa wana Morogoro
 
Haitoki hata kwa bomba la peni.Haiwezekani Mamwinyi wa Dar es salaam wanufaike na rasilimali za Mikoa mingine wakati Wananchi wa Mikoa hiyo wanapata shida..Nasema tena haiwezekani la sivyo kitanuka hapa Morogoro.Tunahitaju gesi na mafuta ili kupunguza gharama za nishati hapa Morogoro,Nauli za Dala dala zishuke,Bei za petroli na dizel zishuke na pia uwekezaji katika viwanda na biashara mbalimbali hapa Morogoro viongezeke maradufu ili hatimaye tatizo la ajira hapa Morogoro lipungue.
 
neema kwa lip?neema zaid ya faru ,tembo na twiga aliotupa mungu bure?
neema zaid ya ngorongoro na wildbeest migration?
au neema zaid ya tanzanite,diamond ya mwadui?au neema kuliko dhahabu ya bunyankulu?

may b i got u wrong! hivi inaweza ikawa neema zaid ya bandari ya dar na ardh yenye rutuba Ya kustawisha pamba,mkonge,tumbaku na kahawa?

may b my understanding is low...yes very low....bt my brother this isnt a hard news for people of my type whose per capitl income is less than $500 a year... . .!
a person who can not just make two ends meet for the whole year throgh....
labda ni neema kwa waliokosa vitalu mtwara,

but for we zero class, this news hardly matters....

its lyk no one cares for the low class ..then why should we?
bt u just know that we are watching uuu!

tym will come where no stone will b left unturned and the image of the country which we belong will b comletely turnished!

history never lie!!
 
Itakuwa neema au laana...(resource curse theory)Hapo waluguru wasubili forceful eviction, wasubiri virungu, wasubiri pollution etc...hakuna guarantee kuwa hali ya maisha itaboreka...zaidi ya kuwa shamba la nishati kwa mataifa makubwa....wawaulize Ogoni Nigeria na kina marehemu Saro Wiwa (kama sijakosea jina)...na hii ni duniani kote...eneo ambapo kuna resource (including US, Australian aboriginals ) wananchi ni masikini wa kutupwa....sijuhi kuna nini ndio maana jamaa akarahisisha kusema resource curse
 
it sound like good news but I'm less optimistic based on previous experience. Ever since i was born Williamson diamond has been taking diamond from Mwadui, but the wellbeing of dwellers around the mines are indisputably desperate, the same applies to Barick gold mines, Buzwagi just to mention the few.

This experience is not confined in Tanzania, in Nigeria People of the Niger delta where the large deposit of oil is found are experiencing the hardship from environmental degradation to extreme poverty.

Could you tell us the different approach your govt is going to put in place so that we can start at least to cheer?

Asante kwa taarifa soon tutakuwa huko
 
Remember, we didn't have the capacity to explore ourselves and we do not have the capacity to produce ourselves. What do you expect? those who explore and those who will produce will do it for free?


it is high time for Africans to start investing in technology otherwise the situation has a great likelihood of remaining static
 
it is high time for Africans to start investing in technology otherwise the situation has a great likelihood of remaining static

Indeed it is. We have to invest in education in big proportions. Our education budgets should be 10x bigger than our defense budgets if we are to make any progress.
 
Hii gesi haitatoka hapa Morogoro.Dar gesi ya Mtwara inawatosha,Hii itatumika hapa hapa Morogoro.
Nasikia gesi yetu haiendi dar mkuu inaenda Dodoma kupitia mwanza mpaka Rwanda.
 
Ahaaa....... this time neema imenisogelea karibu. Haki y'nani sikubali lazima nichungulie fursa from linkage sectors! God make this a reality na mie nisukume mkoko wenye adabu kitaa! Shwaaaaain!!
 
Back
Top Bottom