kambiko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 356
- 308
Kweli Kabisa .Wanafikiri Umaskini Ni SifaMsiwe na roho mbaya kama ya Magufuli.
Tafuteni mafanikio yenu badala ya kupiga domo na kuutukuza umasikini wenu, mkifikiri umasikini ndio uadilifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Kabisa .Wanafikiri Umaskini Ni SifaMsiwe na roho mbaya kama ya Magufuli.
Tafuteni mafanikio yenu badala ya kupiga domo na kuutukuza umasikini wenu, mkifikiri umasikini ndio uadilifu.
@kijakazi Kwahiyo Nape Pia Atatoa Hilyo B3 au?Kuomba radhi kwa gazeti Tanzania kunategemea na power that be iliyopo na haimaanishi kwamba walichoandika hakikuwa sahihi, unafikiri Nape kama Waziri akiwafwata hilo gazeti na kuwalazimisha waombe hiyo radhi watakataa ?