kambiko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 356 Reaction score 308 Mar 4, 2023 #101 Jidu La Mabambasi said: Msiwe na roho mbaya kama ya Magufuli. Tafuteni mafanikio yenu badala ya kupiga domo na kuutukuza umasikini wenu, mkifikiri umasikini ndio uadilifu. Click to expand... Kweli Kabisa .Wanafikiri Umaskini Ni Sifa
Jidu La Mabambasi said: Msiwe na roho mbaya kama ya Magufuli. Tafuteni mafanikio yenu badala ya kupiga domo na kuutukuza umasikini wenu, mkifikiri umasikini ndio uadilifu. Click to expand... Kweli Kabisa .Wanafikiri Umaskini Ni Sifa
kambiko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 356 Reaction score 308 Mar 4, 2023 #102 Kijakazi said: Kuomba radhi kwa gazeti Tanzania kunategemea na power that be iliyopo na haimaanishi kwamba walichoandika hakikuwa sahihi, unafikiri Nape kama Waziri akiwafwata hilo gazeti na kuwalazimisha waombe hiyo radhi watakataa ? Click to expand... @kijakazi Kwahiyo Nape Pia Atatoa Hilyo B3 au?
Kijakazi said: Kuomba radhi kwa gazeti Tanzania kunategemea na power that be iliyopo na haimaanishi kwamba walichoandika hakikuwa sahihi, unafikiri Nape kama Waziri akiwafwata hilo gazeti na kuwalazimisha waombe hiyo radhi watakataa ? Click to expand... @kijakazi Kwahiyo Nape Pia Atatoa Hilyo B3 au?