Nehemiah Mchechu yupo Channel Ten Leo

Nehemiah Mchechu yupo Channel Ten Leo

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
CEO Wa NHC yupo na Makwaiah Kuhenga kwenye kipindi ambacho ni recorded. Kwa haraka haraka nimeona strategic vision na shirika hili kongwe na ametaja some quick wins kama vile ku-improve liquidity ya shirika, mpango kazi Wa kujenga nyumba za kuuza badala ya kutegemea kodi ya pango na mengine mengi. Ingawa huyu dogo alipata kazi hii ya CEO wa NHC kiukanda ukanda, lakini anaonekana Ana tangible deliverables!! Amenifurahisha, mwenye choyo na ajinyonge
 
Back
Top Bottom