Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa wa gazeti kazidisha chumvi. Ila naamini uwezekano wa Diamond kuwavutia baadhi ya mastaa maana nao ni binadamu. Nitatoa mfano wa mwanariadha wa ethiopia na marathon record holder Gebresellasie kuvutiwa sana na mwanariadha wa flani wa Tz walipokutana mashindanoni kiasi kwamba Gebre hakuishia tu kuchukua namba za simu bali pia alimzawadia na dola 15000.
Kwa hiyo Nelly au Chris kuomba namba za simu kwa Diamond inawezekana!
wamekosa story za mafumanizi naona wako wanaokoteza habari
Ni kwelii kabisa inaweza tokeaa hata kama kakosa tuzo kakutana na watu aliokua anawaota tu na kukutana na watu ndio mwanzo wa mambo kuendelea pia anaweza kufanikiwaaa
Matola, matumbo, lusungo, ROBERT MICHAEL, snipa, zavi, Dinazarde, Heaven on Earth, amu, qn of sheba, Princess of sayuni, mrembo by nature, geniveros, mamakibunju njooni muwaone akina chriss brown, nelly na kerrueche wanavyomshobokea diamond wetu na kumuomba namba ya simu pamoja na kufanya nae collabo, jamani ndomo wetu ana nyota kali, ma hater wakaoge
Tofautisha kati ya kuileta na chanzo cha habari mkuu, nadhan utakuwa umenielewa