Nelly, Chris Brown na Kerrueche wamshobokea Diamond

Status
Not open for further replies.
Ama uzi huu umepambwa sijawahi ona
 
Teh teh teh teh


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
jamaa wa gazeti kazidisha chumvi. Ila naamini uwezekano wa Diamond kuwavutia baadhi ya mastaa maana nao ni binadamu. Nitatoa mfano wa mwanariadha wa ethiopia na marathon record holder Gebresellasie kuvutiwa sana na mwanariadha wa flani wa Tz walipokutana mashindanoni kiasi kwamba Gebre hakuishia tu kuchukua namba za simu bali pia alimzawadia na dola 15000.
Kwa hiyo Nelly au Chris kuomba namba za simu kwa Diamond inawezekana!
 
Yaan nimechekaa mpaka jino la mwishoo diamond ndivyo alivyosemaa auy kuwa alishobokewaa auu?? Hapo lazima karuichi agombane na Wema najua lazima mtoto wa Tandalee atupie ndoanoo
 

Ni kwelii kabisa inaweza tokeaa hata kama kakosa tuzo kakutana na watu aliokua anawaota tu na kukutana na watu ndio mwanzo wa mambo kuendelea pia anaweza kufanikiwaaa
 
Ni kwelii kabisa inaweza tokeaa hata kama kakosa tuzo kakutana na watu aliokua anawaota tu na kukutana na watu ndio mwanzo wa mambo kuendelea pia anaweza kufanikiwaaa

Sasa inabidi Diamond atumie nafasi aliyopata kufanya mambo mengi hata nje ya muziki na itamsaidia sana mbeleni. Ustaa wa muziki una mwisho.
 
Jamani mie huku hoi kabisa.
Khaaaaa ni nini hiki sasa.
 
Naona mmeshakosa tuzo mnaaanza kujifariji na uongo...ok uongo mwema..lkn mtandanganya hao hao shuleless..!

Wafanyaje sasa tuzo wakose na akina nelly nao aache kupiga nao picha , maana nasikia nelly kamshobokea na kumuomba namba ya simu
 
Basi huko insta sikupatii picha kulivyojaa!
 

Unajua nimesoma hii habari kwa ufasaha mara kumi kumi nimekuja kugundua Davido ----- tu kwa Diamond ndo maana hao masupastaa wanamshobokea Diamond badala ya Davido.Akili kumkichwa binamu.
 
Last edited by a moderator:

Mi nataka kuona tu hiyo clip ya ndomo,nelly na chris brown wanavyshobokea ndomo na kumuomba namba ya simu pamoja na kufanya collabo, au tuwasikie wenyewe ila sio kwa ndomo wala global maana ndomo nae alijialika mwenyew kwenye harusi ya p square
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…