Nelson-Mandela AIST Arusha.

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,164
Reaction score
573
Wadau salam zenyu bana!!!!!!!!

Hivi jaman zile nafas za kazi kibao ambazo zilitangazwa na Hiki chuo arusha watu washaanza mzigo nini?

naombeni mwenye kujua anijuze
nawakilisha
 
Sina uhakika hawa jamaa wanasubiri nini japo siku ya kufunga kikao cha bunge waziri mkuu pinda alikifagilia sana. Wadau wenye kulijua hili mtujuze tafadhali.
 
Mkuu kwenye matangazo mengi ya kazi kuna statement hii "we regret that only the shortlisted candidates will be contacted". Ukiona kimya kingi ujue umetupwa kapuni mkuu!

Waswahili wanasema ukiona manyoa ujue..........................!
 
Nadhan hukuelewa jamaa alichouliza,kauliza kuna mwenye taarifa zaidi amjuze...yaani kama hakua mmoja wa waliochaguliwa basi aseme ili ijulikane kama ametupwa kapunii
 
Nadhan hukuelewa jamaa alichouliza,kauliza kuna mwenye taarifa zaidi amjuze...yaani kama hakua mmoja wa waliochaguliwa basi aseme ili ijulikane kama ametupwa kapunii

Dah! mkuu naona una hasira kwelkwel, na wewe pia uli'apply nini aise! Em mwageni majina yenu kamili basi pamoja na nafasi ulizoomba ili niwachekie, maana mi niko jikoni kabisa huku.
 
Dah! mkuu naona una hasira kwelkwel, na wewe pia uli'apply nini aise! Em mwageni majina yenu kamili basi pamoja na nafasi ulizoomba ili niwachekie, maana mi niko jikoni kabisa huku.
Hahahha, kweli wewe ni under_score!!
 
Mkuu kwenye matangazo mengi ya kazi kuna statement hii "we regret that only the shortlisted candidates will be contacted". Ukiona kimya kingi ujue umetupwa kapuni mkuu!

Waswahili wanasema ukiona manyoa ujue..........................!
mi nilitaka nijue kama kuna mtu keshaanza kazi au tuendelee kuomba mungu
 
Dah! mkuu naona una hasira kwelkwel, na wewe pia uli'apply nini aise! Em mwageni majina yenu kamili basi pamoja na nafasi ulizoomba ili niwachekie, maana mi niko jikoni kabisa huku.
mkuu kwa ma gret sinker huwezi wadanganya kirahisi hivyo, we anagalia kama kuna mtu atakupa jina la ukweli hapa, Hapa kila mtu ni mjanja
 
Dah! mkuu naona una hasira kwelkwel, na wewe pia uli'apply nini aise! Em mwageni majina yenu kamili basi pamoja na nafasi ulizoomba ili niwachekie, maana mi niko jikoni kabisa huku.
mi najua wame apply wengi sana, kwa hiyo kamanda tujuzane kila taarifa ikitoka
 
mkuu kwa ma gret sinker huwezi wadanganya kirahisi hivyo, we anagalia kama kuna mtu atakupa jina la ukweli hapa, Hapa kila mtu ni mjanja

umeona enh? huo sasa sio ujanja, bali ndo ujinga wetu sasa sisi ma gret sinker, maana hata mtu akitaka kutusaidia sijui atusaidieje sasa! yaani mtu unaulizia majibu ya inshu yako personal kwa kupitia mtandao wa kijamii ili upewe taarifa, na wakati huo umejitungia jina la bandia, hao wahusika watakujuaje sasa kama ndo ni wewe Mr. John au Miss. nan cjui uliyewaomba kazi, kama vipi si uwapigie simu tu direct au uwafate ukawaulize!
 
jamani siku hizi kazi imekuwa ngumu kupata, ndo kama hivo wanatangaza nafasi lkn ni wanjanja tu na watoto wa wakubwa ndo wanapewa. kwa hiyo mkuu kama huna ndg ilishakula kwako zamani
 
hiki chuo kunani, maana watu mwakitolea macho kwelikweli..vp wanalipa kwa dola na marupurupu ya kibunge? hebu tujuzane ili sku nyingine nasie tutume maombi.
 
Habari nilizozipata watu wa it washagonga interview mor than 2 wks ago kuhusu post nyingine sina habari check ur mails cuz jamaa wanakucontact through ur email
 
Dah! mkuu naona una hasira kwelkwel, na wewe pia uli'apply nini aise! Em mwageni majina yenu kamili basi pamoja na nafasi ulizoomba ili niwachekie, maana mi niko jikoni kabisa huku.

haya niangalie mimi jina langu ni John Tete
 
haya niangalie mimi jina langu ni John Tete
labda nkusaidie kijana,(bearer of the thread)kifupi hakuna mtu aliyeitwa kwenye interview mpaka sasa ila mambo yote yameiva na labda niweke sawa kidogo kuwa mishahara yote ni kwa TSH na scale ni zile zile za serikali,
Shortlisted candidates will be contacted sooner rather than later and priority is to fill the overwhelming departments,so please guys be patient
 
Kiongozi naona hapo umetoa utata kwa watu waliokuwa wanapotosha WanaJF. Hongera sana na tunashukuru kwa kutuhabarisha hizo habari muhimu. Ngoja na mimi nihakikishe simu yangu inakuwa online muda wote.....ukipata info tumwagie hapa jamvini mkuu, usichoke!
 
Dah! mkuu naona una hasira kwelkwel, na wewe pia uli'apply nini aise! Em mwageni majina yenu kamili basi pamoja na nafasi ulizoomba ili niwachekie, maana mi niko jikoni kabisa huku.

acha kuzingua wewe jikoni utakuwa wewe aisee??swali ni kuwa mwenye taarifa kuwa wamenza mzigo au la amwage habari hapa sio ishu kuulizia nani yuko jikoni au sebuleni
 
Mkuu mpaka sasa hivi nimekubali kweli ww ni inteligence manake hii issue nimekuwa nikiifuatilia tangu January mpaka sasa naona ww ndo huwa unatoa majibu amabayo yanafanana na ukweli big up. mi nimeomba nafas fulan hapo naomba mungu nipate tuje tuwe pamoja hapo.
 
let me thank you guys for appreciating that ,Ndechumia, sawe boy, and the thread bearer ,there is a scholarships here I wonder to date there are still few Tanzanians applicants while the institution is yours applauds for more TZ to apply,there is a very attractive package for those who will secure the scholarships please if your eligible dont waste your time dreaming about missing the scholarship because the latter will "pay the jobs wont pay"
visit The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…