Nembo ya klabu ya Simba haina jina la nchi

Nembo ya klabu ya Simba haina jina la nchi

sirparadek

Member
Joined
Nov 4, 2015
Posts
73
Reaction score
14
Ninashindwa kuelewa kwanini viongozi na wanachama wa Klabu ya Simba hawajaiona dosari ya Nembo ya klabu ya Simba kutokuwa Na Jina la nchi ya Tanzania.Nembo ni alama ya klabu na inatakiwa kuwe na vielelezo vitakavyokuwa vinaitambulisha klabu hiyo.Klabu ya Simba imekuwa inashiriki mashindano makubwa nje ya nchi.Ni vema viongozi waliopo wakaiboresha Nembo hiyo kwa kuingiza Nina la nchi yetu.
 
Manchester IPO uingereza tu je simba IPO Uganda IPO Tanzania utajuaje? Acha kupinga tu Fanya utafiti
 
Moderators wana Kazi ku deal na wajinga kama huyu hapa jamii forums. mmh!!

Ninashindwa kuelewa kwanini viongozi Na wanachama Wa Klabu ya Simba hawajaiona dosari ya Nembo ya klabu ya Simba kutokuwa Na Jina la nchi ya Tanzania.Nembo ni alama ya klabu Na inatakiwa kuwe Na vielelezo vitakavyokuwa vinaitambulisha klabu hiyo.Klabu ya Simba imekuwa inashiriki mashindano makubwa nje ya nchi.Ni vema viongozi waliopo wakaiboresha Nembo hiyo kwa kuingiza Nina la nchi yetu.[/QUOTE
 
Nini neno Tanzania hata nembo yenyewe sioni sababu ya kuwepo
 
Hivi kwanini timu ya kimataifa website yake ni ya mchangani?
 
Back
Top Bottom