sirparadek
Member
- Nov 4, 2015
- 73
- 14
Ninashindwa kuelewa kwanini viongozi na wanachama wa Klabu ya Simba hawajaiona dosari ya Nembo ya klabu ya Simba kutokuwa Na Jina la nchi ya Tanzania.Nembo ni alama ya klabu na inatakiwa kuwe na vielelezo vitakavyokuwa vinaitambulisha klabu hiyo.Klabu ya Simba imekuwa inashiriki mashindano makubwa nje ya nchi.Ni vema viongozi waliopo wakaiboresha Nembo hiyo kwa kuingiza Nina la nchi yetu.