Nembo ya Taifa

Nembo ya Taifa

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
4,974
Reaction score
785
fat-giraffe-animal-humor-680103_261_380.jpg


Kumbe twiga akikuwa anakuwa hivi.
 
WHAT DO YOU MEAN?
For sure sijaelewa kitu miye!

Nembo ya taifa, ibadilishwe itumike hii yenye twiga aliyeshiba. Huenda uchumi wetu haukuwi kwa sababu twiga wetu ni mwembamba sana.
 
Hii ingetumika wakati wa Mkapa, maana Rais mwenyewe ndio alikuwa ameshiba hivyo
 
Back
Top Bottom