Nembo ya TISS na Ikulu

Nembo ya TISS na Ikulu

Status
Not open for further replies.

Chifunanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
290
Reaction score
100
Wadau,
Kuna mtu ana nembo ya TISS au ya Ikulu? Nimejaribu kusearch online lakini sijazipata.

Nafahamu kuna nembo ya CIA, FBI, The US president. Kuna nembo ya Jamhuri ya Muungano, hata Tanesco wana nembo, pia TRA, polisi, hata kiDowans nacho kina logo.

Nataka kubadilisha Avatar.

Tumia hii...ndio usalama wenyewe wa taifa letu

sheikh-yahyabc.jpg

Nimetafuta google nikapata hii.

Attachments

• TWISHENI.jpg
TWISHENI.jpg
116.9 KB · Views: 517
Nilipojaribu ku google nembo ya ikulu nikapata picha hii

Attachments

• 03_10_zx2ch0.jpg
03_10_zx2ch0.jpg
158 KB · Views: 465
samahani ikulu ipi ya kule kinondoni au?

Hahahahhahahhahahahaaaaaaaaaa..........ohhhh my goodness........... Camaraderie, i've got no words for you!!!!

Usicheke ukaishia hapo, tafakari naamini utalia!, huyo ndio anatoa usalama kwa mkulu na alishasema anaongeza ulinzi na yeyote ataempinga mkulu atakufa!, ulisikia mtu yeyote kukanusha kulindwa?, halafu wakati tumealikwa masheikh kula futali nae alikuwepo ati!

Tumia hii...ndio usalama wenyewe wa taifa letu

sheikh-yahyabc.jpg
nafikiri hii ni nembo ya IKULU KWA SASA.
INAMLINDA JK KWA MAJINI?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

Usicheke ukaishia hapo, tafakari naamini utalia!, huyo ndio anatoa usalama kwa mkulu na alishasema anaongeza ulinzi na yeyote ataempinga mkulu atakufa!, ulisikia mtu yeyote kukanusha kulindwa?, halafu wakati tumealikwa masheikh kula futali nae alikuwepo ati!

My dia hata sitaki kwenda huko kote kwenye kutafakari maana ni vitu vinavyoumiza na kuleta vidonda vya tumbo. Ati mtu analindwa na majini...........WHAT A SHAME!!!!

Tumia hii...ndio usalama wenyewe wa taifa letu

sheikh-yahyabc.jpg

Mkuu CAMARADERIE tutavunjana mbavu kwa mtindo huu, hah si mchezo!!

Cant figure out what went on your mind baada mtu kuomba Nembo ya TISS/Ikulu

Mkuu CAMARADERIE tutavunjana mbavu kwa mtindo huu, hah si mchezo!!

Cant figure out what went on your mind baada mtu kuomba Nembo ya TISS/Ikulu

Usalama wetu wa taifa ni huyu MZEE wetu...thats why

Nafikiri wanatumia nembo ya Taifa

tanzania_emblem.jpg

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom