Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mwamposa yupo mbali kidogo na makazi ,halafu pale pafungwe madereva wakose abiria n mama ntilie ?wamtoe na mwamposa pale kawe, analeta jam
Anapiga ela sana kirahisi wakati watu tunatesekaMwamposa yupo mbali kidogo na makazi ,halafu pale pafungwe madereva wakose abiria n mama ntilie ?
jamaa yale maji anachukua kiwandani ,wanamwuzia 350 kwa chupa yeye anauza 1000 nadhani kwa siku pale zinatoka chupa si chini ya 5000Anapiga ela sana kirahisi wakati watu tunateseka
Aisee we haujakaa karibu na msikiti. Ni noma.Kwa nyongeza kuna misikiti pia ikifika alfajiri, saa 7 mchana na kadahalika kila siku ishauriwe kutokutumia hayo masipika yaliyoning'inizwa nje maana ni kelele tupu.
Mabaa na walevi wanaoimba imba na kupiga kiingereza cha mkoloni huku wakiyumbayumba warejeapo makwao wamlikwe
Hivi Hayo Maji ya Mwamposa yanawasaidia wahitaji?jamaa yale maji anachukua kiwandani ,wanamwuzia 350 kwa chupa yeye anauza 1000 nadhani kwa siku pale zinatoka chupa si chini ya 5000
NakaziaWaislamu na walokole wapigwe faini tuwe kama rwanda. Wasabato, katoliki, lutheran, anglikana na mashahidi wa yehova bila kusahau freemasonry wanaabudu kistaarabu sana. WAISLAM NA WALOKOLE WAPIGWE TANCHI.
imani yako tu mkuu ndo inasaidiaHivi Hayo Maji ya Mwamposa yanawasaidia wahitaji?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huu ni wimbo wa miaka mingi nao umekuwa kero kama hayo makelele wanayoyalalamikia kitaa, hivi sasa vyombo vya miziki vimekuwa bei chini vinafungwa kila mahali na kusababisha uumbufu hata sehemu zenye hospitali. Nilikuwa Morogoro weekend Kuanzia Msamvu mpaka Kihonda mwisho njiani ni kelele za mashindano ya miziki kwenye barBaraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wametoa onyo kwa wamiliki wa sehemu za kuabudu na nyumba za starehe wanaosababisha kelele kwenye makazi ya watu na kusisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa ikiwa pamoja kufunga maeneo hayo
Misikiti ina nafuu kwakuwa wanafanya ibada kwa dakika chache sana tofauti na makanisa yanayokesha na midundo ya mizikiwa nyongeza kuna misikiti pia ikifika alfajiri, saa 7 mchana na kadahalika kila siku ishauriwe kutokutumia hayo masipika yaliyoning'inizwa nje maana ni kelele tupu.
Kwani misikiti na makanisa yote yakiambiwa Ni marufuku kutumia Yale maspika ya Nje shida inakua ni Nini?Misikiti ina nafuu kwakuwa wanafanya ibada kwa dakika chache sana tofauti na makanisa yanayokesha na midundo ya miziki
Haidhuru ila isitafsiriwe kuwa spika za misikiti ndiyo chafuzi zaidi ya makanisani kuwe na fair playKwani misikiti na makanisa yote yakiambiwa Ni marufuku kutumia Yale maspika ya Nje shida inakua ni Nini?