NEMC kuchukua hatua kali dhidi ya nyumba za ibada na sehemu za starehe zinazopiga kelele kwenye makazi ya watu

NEMC kuchukua hatua kali dhidi ya nyumba za ibada na sehemu za starehe zinazopiga kelele kwenye makazi ya watu

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Ila KUNA MAKANISA YAPO KARIBU NA MAKAZI YA WATU.

Yaani unakuta kanisa lipo kati kati ya nyumba za watu, Sasa bana ikifika ijumaa hadi jumapili inabidi muhame kwanza maana siyo kwa mziki huo, na hii sio mara ya kwanza kwa wao kutoa tamko kama hili

Pia soma: NEMC kufanya msako wa wanaopiga kelele nyakati za usiku kwa kiwango kilichozidi Desibeli 40

======

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wametoa onyo kwa wamiliki wa sehemu za kuabudu na nyumba za starehe wanaosababisha kelele kwenye makazi ya watu na kusisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa ikiwa pamoja kufunga maeneo hayo
 
Kwa nyongeza kuna misikiti pia ikifika alfajiri, saa 7 mchana na kadhalika kila siku ishauriwe kutokutumia hayo maspika yaliyoning'inizwa nje maana ni kelele tupu.

Mabaa na walevi wanaoimba imba na kupiga kiingereza cha mkoloni huku wakiyumbayumba warejeapo makwao wamlikwe
 
Kwa nyongeza kuna misikiti pia ikifika alfajiri, saa 7 mchana na kadahalika kila siku ishauriwe kutokutumia hayo masipika yaliyoning'inizwa nje maana ni kelele tupu.

Mabaa na walevi wanaoimba imba na kupiga kiingereza cha mkoloni huku wakiyumbayumba warejeapo makwao wamlikwe
Aisee we haujakaa karibu na msikiti. Ni noma.
 
Waislamu na walokole wapigwe faini tuwe kama rwanda. Wasabato, katoliki, lutheran, anglikana na mashahidi wa yehova bila kusahau freemasonry wanaabudu kistaarabu sana. WAISLAM NA WALOKOLE WAPIGWE TANCHI.
Nakazia
 
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wametoa onyo kwa wamiliki wa sehemu za kuabudu na nyumba za starehe wanaosababisha kelele kwenye makazi ya watu na kusisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa ikiwa pamoja kufunga maeneo hayo
Huu ni wimbo wa miaka mingi nao umekuwa kero kama hayo makelele wanayoyalalamikia kitaa, hivi sasa vyombo vya miziki vimekuwa bei chini vinafungwa kila mahali na kusababisha uumbufu hata sehemu zenye hospitali. Nilikuwa Morogoro weekend Kuanzia Msamvu mpaka Kihonda mwisho njiani ni kelele za mashindano ya miziki kwenye bar
Nilitegemea:
  1. Kuwepo ubunifu wa namna ya kuwakamata wahusika ikiwa ni pamoja na kutengeneza app ya kutolea taarifa
  2. NEMC ilitakiwa kuimarisha mapato yake kwa kuwatoza faini wahusika
  3. NEMC washirikiane na mamlaka zingine katika miji kutenga maeneo maalumu ya starehe na matamasha au starehe
  4. NEMC waweke sheria kuwa sehemu zote za kelele zifungwe sound proof
 
wa nyongeza kuna misikiti pia ikifika alfajiri, saa 7 mchana na kadahalika kila siku ishauriwe kutokutumia hayo masipika yaliyoning'inizwa nje maana ni kelele tupu.
Misikiti ina nafuu kwakuwa wanafanya ibada kwa dakika chache sana tofauti na makanisa yanayokesha na midundo ya miziki
 
Misikiti ina nafuu kwakuwa wanafanya ibada kwa dakika chache sana tofauti na makanisa yanayokesha na midundo ya miziki
Kwani misikiti na makanisa yote yakiambiwa Ni marufuku kutumia Yale maspika ya Nje shida inakua ni Nini?
 
Kwani misikiti na makanisa yote yakiambiwa Ni marufuku kutumia Yale maspika ya Nje shida inakua ni Nini?
Haidhuru ila isitafsiriwe kuwa spika za misikiti ndiyo chafuzi zaidi ya makanisani kuwe na fair play
 
Back
Top Bottom