NEMC, mnashughulikia mazingira ni nchi kavu pekee?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Baraza la Mazingira (NEMC) nawauliza hamuoni Uchafuzi wa mazingira baharini na kwenye vyanzo vya maji?

Uchafu unatiririshwa baharini, na ziwani kwa Hali ya kutisha. Public beaches (fukwe za umma) eg. Coco, Kawe, Jangwani zimejaa uchafu Wala hamchukui hatua. Why?

*Huko baharini mna hata Boat ya Patrol tu

Tusipoangalia tutabaki na fukwe zilizojaa vinyesi tu

 
Dar inafaa kuwa Safi zaidi mji wa Moshi
 
Usafi Ni Wajiibu wetu sote mkuu...Nemc Atakuja Kwako kukuambia usitupe Taka kweli??
 
Halafu kaombe kibali cha kufungua hata kiwanda cha kushoda madera uone watakavyokuzungusha kuhusu Mazingira.
 
Inasikitisha sana...
 
Aise nipo kwenye residential area. Kuna jamaa wawili toka uswahilini wana mifugo wanatutesa mno. Kuanzia kula maua majani miti mpaka kinyesi!
Hata sijuwi nikapate msaada wapi!
 
Katika Mabaraza ya hovyo yanayodumbua fedha ya serikali bila kazi ni hao nemc,
 
Usafi Ni Wajiibu wetu sote mkuu...Nemc Atakuja Kwako kukuambia usitupe Taka kweli??
Basi watangaze wameshindwa kazi, kwasababu wao ni wasimamizi wanapaswa kuchukua hatua dhidi ya wavunja sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…