NEMC, mnashughulikia mazingira ni nchi kavu pekee?

Basi watangaze wameshindwa kazi, kwasababu wao ni wasimamizi wanapaswa kuchukua hatua dhidi ya wavunja sheria
Kwanini Umeenda NEMC moja kwa moja, na kuiacha manispaa husika?
Wana watu wa enviroment management, wana municipal services Engineers. Wanafanya nini hao wote.
Mpaka tukuruke tufike NEMC moja kwa moja.
 
Nemc kazi zao nini
 
Njoo kigamboni mita 60 zimenajisiwa na hamna kitu inafanyika
 
Back
Top Bottom