NEMC, Waziri Ummy na Halmashauri mnamsubiri Rais Samia atoe tamko kuhusu matangazo\uchafu?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Naona NEMC, mama Ummy Mwalimu na Halmashauri, kwa pamoja wanasubiri Mama Samia alitolee neno hili tatizo la uchafuzi wa Mazingira unaofanywa na wanaojiita British School-Computer Course.

Matangazo haya yametapaka Mwenge yote.

1624874895122.png

1624875141596.png

1624875332513.png

Back
Top Bottom